Ushauri unahitajika: Rafiki yangu kafunguliwa kesi na mke wake

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Leo nilikuwa na rafiki yangu jioni alinipigia simu niende kwani alikuwa amegombana na mke wake. Huyo mkewe akaondoka akamuacha na mtoto wa miezi 3 mpaka saa 3 usiku bado huyo mkewe hajarudi tokea saa 11.

Sasa kanipigia simu mkewe karudi but kwa maongezi aliyoyaskia mkewe akiongea na mama yake ni kwamba huyo mwanamke kamfungulia kesi polisi na ana RB ya jamaa but jamaa kasema haendi kokote anasubiri akamatwe may be tomorrow.

KOSA: Huyo mkewe kwa maelezo ya jamaa ni mvivu sana na ni mchafu na wote wanafanyakazi. Mkewe ni mwalimu, binti wa kazi amesafiri kidogo sasa jamaa anadai asubuhi nyumba ilikuwa chafu sana vyombo vinanuka vya siku tano vimerundkwa.

Mkewe mwenyewe kuoga ni shida mara moja per day, mswaki mzozo jamaa asubuhi akamuwakia mkewe akamjbu hana muda jamaa kamrushia kibao mkewe kwa maelezo ya jamaa akamtukana pumbavu jamaa aliwaka vibaya.

Ndo jioni wamerudi kazini mara mkewe nduki hakujua anaenda wapi at ze end ndo alichorudi nacho.
 
KOSA: huyo mkewe kwa maelezo ya jamaa n mvivu sana na ni mchafu na wote wanafanyakaz mkewe n mwl..binti wa kaz amesafiri kdogo sasa jamaa anadai asbh nyumba ilikuwa chafu sn vyombo vnanuka vya sku tano vmerundkwa,mkewe mwnyw kuoga n shda mara moja per day,mswaki mzozo jamaa asbh akamuwakia mkewe akamjbu hana muda jamaa kamrushia kibao mkewe kwa maelezo ya jamaa akamtukana pumbavu jamaa aliwaka vbaya ndo jion wamerud kazn mara mkewe nduki hakujua anaenda wapi at ze end ndo alchorud nacho.
ahahaaa si amuogeshe?
 
Uchafu katika maisha ya mapenzi ni kitu kibaya sana kuwa nacho.Bora mwanaume awe mchafu haionekani sana kuliko mwanamke awe mchafu.
Pole ila muwe mnachunguzana
 
Pole yake! Ndo tatizo la wanawake wasomi! Wanajua haki zao. Kisheria hajafanya kosa ila kimaadili sio kabisa!!!
Ni kwamba hakumuona kua ni mchafu kabla hawajaoana? Hivi watu wanafanyaga shughuli ganibkwenye kile kipindi cha uchumba?
 
Uchafu katika maisha ya mapenzi ni kitu kibaya sana kuwa nacho.Bora mwanaume awe mchafu haionekani sana kuliko mwanamke awe mchafu.
Pole ila muwe mnachunguzana
Hakuna ubora wowote kwangu aisee mi siezi vumilia asipojifunza kuwa msafi kulingana ntavyomkuta na nikaanza kumbadilisha
 
Pole yake! Ndo tatizo la wanawake wasomi! Wanajua haki zao. Kisheria hajafanya kosa ila kimaadili sio kabisa!!!
Ni kwamba hakumuona kua ni mchafu kabla hawajaoana? Hivi watu wanafanyaga shughuli ganibkwenye kile kipindi cha uchumba?
kipindi cha uchumba huwezi kumjua mwanamke, wengi wao wanakuaga akina Monalisa (waigizaji)
 
Pole yake! Ndo tatizo la wanawake wasomi! Wanajua haki zao. Kisheria hajafanya kosa ila kimaadili sio kabisa!!!
Ni kwamba hakumuona kua ni mchafu kabla hawajaoana? Hivi watu wanafanyaga shughuli ganibkwenye kile kipindi cha uchumba?
We mtu mnaonana masaa mawili garden mnaondoka na kajitaidi kaoga amependeza ili tu akubalike unafikiri atajua kama ni mchafuuu??? Ishi naye ndo utamjua vizuri
 
Huyo mwanamke hajitambui huwezi kumtegea house girl kwa ,100% lazima ajiongeze usafi ni tabia aongee nae taratibu atafute hata wazee wawili watatu waongee yaishe akimpeleka polisi akimuweka ndani ni DOA kubwa sana kwenye ndoa yao
 
Wana JF mliodandia hii thread Shikeni jembe mkalime kabla hamjaumbuka.
 
duuh, jamaa kanpgia cm mkewe kaondoka alfajiri sn,kama kawaida kamtelekezea mtoto wa miezi 3,leo jamaa haend kazn full kulea kichanga. sababu ya mkewe kwenda polisi n kwamba wakati wanazozana mkewe akamtukana pumbavu ndo njemba ikamrushia kibao.
 
Kama namuona vile! Angekua anafanya kazi ya samaki kule feri ingekuaje? Afu utakuta uko shule anawaadhibu wanafunzi wavivu na wachafu!
 
KESI, n kwamba eti mwanamke kwa maelezo ya jamaa anadai kaumizwa sn so kaenda fungua kesi polis pengne leo jamaa atawekwa lupango c mnajua polis wetu wakipewa cha juu.
 
Uyo jamaa na yeye ni mjinga,hivi utafugaje mwanamke mchafu?
Fukuza akaongeze uchafu uko kwao kwasababu inaonyesha wazazi wake ni wachafu kama yeye.
 
Huyo rafiki yako angeamka mapema wakati mkewe anahangaika na mtoto akasafisha nyumba ingekuwaje? Di inahitaji mikono 2 na miguu 2 kufanya usafi? Sioni sex organ ikitumika hapo. Halafu angekuwa anamualika mkewe kuoga pamoja haoni kama angembadilisha. Kuna njia zaidi ya moja kutatua tatizo, kupiga haijawahi fanya kazi kwa mtu mzima.
 
KESI, n kwamba eti mwanamke kwa maelezo ya jamaa anadai kaumizwa sn so kaenda fungua kesi polis pengne leo jamaa atawekwa lupango c mnajua polis wetu wakipewa cha juu.
Si amwache tu, ya nini kuishi kwa shida namna hiyo
 
Back
Top Bottom