Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 895
Salaam kwa wakubwa na wengne wa makamo yangu natumain mu wazima
Mimi ni kijana wa makamo nilimaliza elimu yangu miaka 5 iliopita ikanibidi nikomae mtaani
Ila kwa sasa nina akiba ya Milioni 1.5, sasa nikawa nimepata wazo la kujiendleza kielimu katika chuo moja wapo kwa course ya Community Development
Kilichonileta hapa kwenu ni Jambo moja pekee binafsi Nina kazi nayofanya na ndio inanipa company hapa na pale
Nimefikiria sana je nikasome au niendelee na kazi zangu tu hayo yote nawaza ni kutokana na hali ilivo nikaona itakuwa vizuri nikapata ushauri kidogo kwa wajuzi na wakubwa wangu