Ushauri unahitajika, mpenzi wangu anawasiliana na wanaume wengine

Upo sahihi ndugu.Ndio maana nipo hapa kuomba ushauri
Wee!! jamaa km ulikuwa unamkuna vizuri jiandae kurogwa tu!!!! mademu wakipoteza chenye thamani wanaumiaga sana!! anajua wenzake wanafaidi

cha kufanya nenda kwa kaluma nzila tena siyo mmoja ukapate kinga!! ndo ufanye michakato mingine hao si watu!! wewe ndo unajua jinsi ulivo kuwa unamkuna! km alikuwa hafurahii machejo usiwe na wasi!
 
Nimekasirika sana eti mwanaume mwenzako anakupigia simu na kukuthibitishia kuwa alimgonga demu wako na condom na wewe unaanza kurudisha majeshi nyuma eti kweli mimba itakuwa yako. Hata km yako dharau ya kupigiwa Simu na kuambiwa namna demu wako alivyochatwa inatosha kabisa kumuachilia mbali. Zinduka mzee au umerogwa tunaweza kulaumu kumbe umeshapigwa kipapai.
 
Jamaa huyu mleta mada, hana akili nzuri!
 
Mwache huko huko kwao mhudumie , akijifungua hakikisha kama ni mwannao, kama ni mwanao mhudumie

Harafu chukua mtoto, mwache mama yake

Anza maisha ya kusaka pesa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Komenti yako imeniumiza sana roho mkuu
Mkuu najuwa hari unayopitia ila moja ya makosa tunayofanya sisi wanaume dhaifu ni kufumbia macho mambo madogo madogo ambayo matokeo yake nimabaya mno, sisemi kwa kukuhukumu ila hata mimi ndiyo stuation napitia ila mpaka sasa nilicho kiamua tayari nimesitisha sex naye pia nimeamua kutafuta msichana mwingine kimnya kimnya ambaye ninauhakika naweza nikamchukua hana hizi mambo, msichana gani anakuwa na mazoea ya kupitiliza na wanaume ilihari ni mchmba wa mtu, aisee inavyo kuuma nisawa umenikumbusha ninayopitia. Upole mwingi huwa unakugharimu, maana kuna magonjwa
 
Pole mkuu mimi yalinikuta kama haya lkn mimi sijasubiri mimba kwakweli nilimtema mapema sana ila nashkuru alikuwa mwepes wa kunipa papuchi kiukwel sijateseka kabisa nlikuwa nkikohoa tu yupo geto
 
Nimekasirika sana eti mwanaume mwenzako anakupigia simu na kukuthibitishia kuwa alimgonga demu wako na condom na wewe unaanza kurudisha majeshi nyuma eti kweli mimba itakuwa yako. Hata km yako dharau ya kupigiwa Simu na kuambiwa namna demu wako alivyochatwa inatosha kabisa kumuachilia mbali. Zinduka mzee au umerogwa tunaweza kulaumu kumbe umeshapigwa kipapai.
Kifupi jamaa wamemuona bwege na hilo limejidhihirisha zaidi baada ya yeye kupokea hiyo simu kisha kuanza kusikiliza simulizi toka kwa mtu anaejua fika kuwa anatembea na mwanamke wake na akachagua kumuamini kana kwamba usaliti wanaomfanyia ni kitu kizuri na kinamfurahisha
 
Sure tunakosa namna ya kumsaidia
 
Back
Top Bottom