Ushauri unahitajika kuhusu hii kazi ninayofanya

Sio kwel mkuu,sijajiona mm ni mkubwa kuliko kampuni haiwezi kutokea,mpk naongea haya maanake mambo yanazid kwenda mrama,kampuni hii nimeikuta na hata nikiondoka itazid kuwepo
Huu Uandishi wako unastahili kutukanwa na huyo mkubwa wako.

"Maanake" ndio kitu gani???


Maana yake
 
Bora ubaki hukohuko, sisi huku kwetu tuna BASHITE (ZERO BRAIN) anatutukana kama sisi ni ZERO BRAIN kama yeye.
 
Back
Top Bottom