Ushauri unahitajika hapa tafadhali

Una kiwanja Bunju lakini kwa sasa unaishi kwa kaka. Umepata mchumba mnategemea kufunga ndoa. Bugdet ya harusi mliyonayo mkononi ni milioni 10. Hii ni pesa wachumba waliweka kwa pamoja kwa miaka miwili.

Hawataki michango wameomba zawadi kwa atakaeweza. Mama wa mke anataka watumie milioni 2 kwa harusi simple na milioni nane wajenge nyumba ya nyuma kwenye kiwanja chao.

Maharusi wanasita, ingawa walipanga harusi ndogo lakini si ya milioni 2.
Wewe unasemaje kwani?
 
Najua mtoa mada unajisema ila ushauri wa wazazi ni mzur zaidi maisha ya tz saiv kila kona tozo..
Amua vzr kufata neno la wazazi au mipango yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom