Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,194
- 85,295
Minafikiri tatizo ni nyie familia ya kaka yako, pamoja na huyo mama wa hawarayake kaka yako.
Kwa haukika nyie ndio shida, that's why hili Jambo limekua kubwa kwasababu mnakizungumzia sana na ndio sababu issue ya kakaenu imekua na attention kubwa.
Ebu muacheni kaka yenu na mkewe waamue nini hatma ya maisha na mahusiano yao.
Alafu kakaenu nae ni fala sana, yaani inakuaje aruhusu ndugu zake na mkwe wake aingilie maisha yake..??