Ushauri: Ulitumia njia gani ili mpenzi king'ang'anizi asikufatilie?

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
699
Huyu mdada kanichosha

alikua mpenzi wangu wa zamani tukaachana kisa anamichepuko mingi,na uchunguzi nilioufanya hawez acha michepuko yake

aliniumiza kichwa sana hadi kunipelekea kukesha baa ili nipoteze mawazo kwa yale alienitenda

Huyu mdada nimemtukana sana lakini bado HAELEWI SOMO.kifupi tu huyu mdada nimemtukana sana ili anipotezee lakini wapi,

imefika point hadi akipiga sipokei,akituma sms sijibu, niliitoa laini yangu kwa miezi mi 3 ili asinipate hewani lakini siku nikiiweka tu,YUMO.na kununua laini nyingne siwez coz hii laini inawatu muhimu sana na naitumia katika biashara zangu

mbaya zaidi kadri anavyonipigia,tuma text sometime hua akili ya kumludia inakuja lakini nikikumbuka aaaa siwez aisee

wakuu huyu mtu nimwambie nini ili aelewe?

ushauri wenu muhimu
 
Ata mwenye michepuko mingi anae anayempenda kwa dhati
Inaezekana iko ivo kwa huyo mdada
Kama akili ya kumrudia inakuja, mrudie tu. . . Inaezekana anakutafuta mara zote izo anajaribu kukufahamisha kaacha tabia ya michepuko(labda)

Mskilize mwenzio
 
Mskilize mwenzie

alishatoaga izo ahadi nyingi sana mkuu kua nimeacha ila ukipga ka investigation unakuta yumooo
 
Njooni Kanisani mje mtubu dhambi zenu ili mumkabidhi Yesu maisha yenu (KUOKOKA), kisha taratibu za ndoa zitafuata kuna uwezekano mkubwa huyo dada akawa "wife material"
 
4f651384741465cbf4c72fe4f965055c.jpg
 
mkuu pole sana mimi mwenyewe ni muhanga wa hilo janga ilifikia kipindi anataka kunywa sumuo_Oo_O
nakushauri ukaripoti polisi mana hiyo ni Psychiatric case
 
Huyu mdada kanichosha

alikua mpenzi wangu wa zamani tukaachana kisa anamichepuko mingi,na uchunguzi nilioufanya hawez acha michepuko yake

aliniumiza kichwa sana hadi kunipelekea kukesha baa ili nipoteze mawazo kwa yale alienitenda

Huyu mdada nimemtukana sana lakini bado HAELEWI SOMO.kifupi tu huyu mdada nimemtukana sana ili anipotezee lakini wapi,

imefika point hadi akipiga sipokei,akituma sms sijibu, niliitoa laini yangu kwa miezi mi 3 ili asinipate hewani lakini siku nikiiweka tu,YUMO.na kununua laini nyingne siwez coz hii laini inawatu muhimu sana na naitumia katika biashara zangu

mbaya zaidi kadri anavyonipigia,tuma text sometime hua akili ya kumludia inakuja lakini nikikumbuka aaaa siwez aisee

wakuu huyu mtu nimwambie nini ili aelewe?

ushauri wenu muhimu

Mtumie rafiki yako mchonge mchongo wa kumfumania live na mumjazie watu....umeelewa cha kufanya?
 
Akikupigia simu usipokee (ukipokea na kumjua ikate simu)
Akikutumia msg usimjibu (ukiijua ni yake usiisome delete)
Akikuambia anataka kukutana na wewe kataa usiende.
Mblock halafu add to blacklist

Usimtukane wala kumdhalilisha jus tumia kauli nzuri ikitokea hakuna budi
Hakuna mapenzi kama hakuna mawasiliano
 
Tatizo bado unampenda sana huyo binti. Em tumia akili bana.

kweli mkuu,nilichukua mda mrefu sana kumtoa kichwan mkuu,almost 5 months,mara ya kwanza nilikua tunakorofishana na kuludiana ivo ivo kama mara 4,ila kunatukio kubwa alilifanya ndo likanitoa kabisa,sasa ivi nimejikita kwenye kukuza kipato changu(biznes),sina time na hili wimbi linaloitwa mapenzi kwa mda kwanza mkuu
 
Akikupigia simu usipokee (ukipokea na kumjua ikate simu)
Akikutumia msg usimjibu (ukiijua ni yake usiisome delete)
Akikuambia anataka kukutana na wewe kataa usiende.
Mblock halafu add to blacklist

Usimtukane wala kumdhalilisha jus tumia kauli nzuri ikitokea hakuna budi
Hakuna mapenzi kama hakuna mawasiliano

Umeeleweka mkuu,noted
 
kweli mkuu,nilichukua mda mrefu sana kumtoa kichwan mkuu,almost 5 months,mara ya kwanza nilikua tunakorofishana na kuludiana ivo ivo kama mara 4,ila kunatukio kubwa alilifanya ndo likanitoa kabisa,sasa ivi nimejikita kwenye kukuza kipato changu(biznes),sina time na hili wimbi linaloitwa mapenzi kwa mda kwanza mkuu

Anachepuka sababu hana uhakika kama kweli utamuoa. Dawa muoe weka ndani utashangaa atakavyotulia
 
Back
Top Bottom