Ushauri: Ukweni wanataka kunipangia tarehe ya kuoa wao ya kwangu wameikataa wakati nishawaambia wazazi wangu

Baada ya kuoa ninakuja naye maana nshamtaftia pa kujishkiza huku,

Ye anasema Hana la kuamua kutofautiana na ndugu zake , maana watamtenga
Kwa navyoona Wazazi wake wana hofu huenda akateseka kwenye nchi za watu
kama kweli unampenda tafuta njia za kuwatoa hofu ndugu na wakwe zako
 
Ndugu kuoa si jambo la mchezo, ushauri wangu kwako; simamia unachoamini na kuwa na msimamo, simamia msimamo wako na kama njema financial waambie kuwa utabeba majukumu yako mwenyewe, then usikubali kuyumbishwa sahivi kwani kwenye ndoa nako utakuja kuyumba. Haina haja ya kukaa na wazee wako wa kimila ili uwataarifu hicho walichojibu upande wa mwanamke bali mtaarifu huyo mwanamke awataarifu upande wake kama hawako tayari yeye kuolewa na wewe waseme. Last option kama ikiwa bado wameshikikia msimamo wao, mwambie huyo mwanamke kuwa we unataka kuoa mwaka huu na kama ye atafata ushauri wa jamaa zake kuwa ndoa mwakani mwambie "mwakani hakuna ndoa na utatafuta mchumba mwingine uoe" hapo naamini kama kweli anakupenda, atawaambia jamaa zake wabadili msimamo.
Ndoa ni jambo la kheri hakuna haja ya kulichelewesha. Nakutakia kila la kheri.
 
Naona wakwe wanaona mtoto wao mzuri sana, wanaume wenyewe wa kuoa wameisha halafu wao wanaleta pozi. Ila pia inawezekana huyo mkeo mtarajiwa ndio wana mtegemea kifedha kwahiyo wanaona hawato faida mshahara wake akiolewa mapema. Hiyo kazi wanayosema kuwa afanye kwa Mwaka mmoja ni ipi wakati mwisho wa siku ataiacha na kukufuata Ufaransa

Fanya haya
1. Send off sio lazima so waambie utaoa bila send off
2. Wakikataa hiyo ya kwanza waambie utoe posa then wakupe mke wako sherehe zitafuata wao wakiwa tayari na wewe ukiwa tayari. Hapa unachukua mke halafu unapotezea mambo ya sherehe utakuja tu kubariki mbele kwa mbele
3. Hii ndio kiboko ya yote baada ya njia za kidiplomasia kushindikana. Tia mimba halafu uone kama hawajawa tayari

Ushindwe wewe
 
Sijui kwa wengine,lakini nachokiona hapa,labda kama umejisahau,hata ukweni hawakutambui.Wewe umetoka huko ukaja Tarime kutoa taarifa,ila hujaenda ukweni kujitambulisha na kujieleza.Ujue wazee wengine siyo wa kuambiwa naoa,wanasema chukua.Sahau.
Halafu,navyoonaga mimi,kwa upande wa mwanamke maandalizi lazima yawepo,ukizingatia michango siku hizi ni duni.
Kingine kwa maelezo yako wewe,hakika kuna harusi mnayoitaka kila mtu ajue kijana anaefanya kazi France ameoa mtoto wa furani anayefanyakazi sehemu furani.
Mkwe au mkamwana siku zote hupendeza akiwa mtoto kwenye familia ukweni. Kama umejifanya najiweza,litakuganda.Hayo ya kupangiana miaka mi siyajui,maana kila mmoja na plan zake.Unadhani mkeo mtarajiwa kakupa 100% ya alichoambiwa? Sahau.Hata kama angefanya kazi miaka 10,asingetunza mshahara wote kwa ajili ya harusi.Hivyo kwenu,unaweza amua lolote kwa uwezo ulio nao,ila kumbuka mkeo anategemea wazazi na ndugu kifedha. Kosa lako ni moja tu,hujafanya urafiki na familia ya ukweni.Ila nijupe ujinga mmoja,ongea na mkeo,akupe gharama zinazohitajika,utoe hiyo pesa,asigizie amechukua mkopo,na mtalipa wenyewe,ili ukamilishe zoezi hilo kwa mda unaotaka wewe.Lakini yakibuma usije kulaumu. Ulitakiwa uwe na numbers za wazazi,unasalimia,ka sikukuubunatuna hata elfu 50,mpaka wao wajiulize wewe ni nani.Mke anapigiwa debe ndugu yangu,labda kama wa bar. Pesa si kila kitu,hata kauli ni mhimu kwenye hilo jambo.Mawazo yangu tu hayo,labda nabwengine wachangie.
 
Braza kama swala dogo kama hili umelileta mtandaoni ukioa matatizo yenu utayapeleka wapi?
 
Ndugu kuoa si jambo la mchezo, ushauri wangu kwako; simamia unachoamini na kuwa na msimamo, simamia msimamo wako na kama njema financial waambie kuwa utabeba majukumu yako mwenyewe, then usikubali kuyumbishwa sahivi kwani kwenye ndoa nako utakuja kuyumba. Haina haja ya kukaa na wazee wako wa kimila ili uwataarifu hicho walichojibu upande wa mwanamke bali mtaarifu huyo mwanamke awataarifu upande wake kama hawako tayari yeye kuolewa na wewe waseme. Last option kama ikiwa bado wameshikikia msimamo wao, mwambie huyo mwanamke kuwa we unataka kuoa mwaka huu na kama ye atafata ushauri wa jamaa zake kuwa ndoa mwakani mwambie "mwakani hakuna ndoa na utatafuta mchumba mwingine uoe" hapo naamini kama kweli anakupenda, atawaambia jamaa zake wabadili msimamo.
Ndoa ni jambo la kheri hakuna haja ya kulichelewesha. Nakutakia kila la kheri.
Ushauri mzuri mno
 
Sijui kwa wengine,lakini nachokiona hapa,labda kama umejisahau,hata ukweni hawakutambui.Wewe umetoka huko ukaja Tarime kutoa taarifa,ila hujaenda ukweni kujitambulisha na kujieleza.Ujue wazee wengine siyo wa kuambiwa naoa,wanasema chukua.Sahau.
Halafu,navyoonaga mimi,kwa upande wa mwanamke maandalizi lazima yawepo,ukizingatia michango siku hizi ni duni.
Kingine kwa maelezo yako wewe,hakika kuna harusi mnayoitaka kila mtu ajue kijana anaefanya kazi France ameoa mtoto wa furani anayefanyakazi sehemu furani.
Mkwe au mkamwana siku zote hupendeza akiwa mtoto kwenye familia ukweni. Kama umejifanya najiweza,litakuganda.Hayo ya kupangiana miaka mi siyajui,maana kila mmoja na plan zake.Unadhani mkeo mtarajiwa kakupa 100% ya alichoambiwa? Sahau.Hata kama angefanya kazi miaka 10,asingetunza mshahara wote kwa ajili ya harusi.Hivyo kwenu,unaweza amua lolote kwa uwezo ulio nao,ila kumbuka mkeo anategemea wazazi na ndugu kifedha. Kosa lako ni moja tu,hujafanya urafiki na familia ya ukweni.Ila nijupe ujinga mmoja,ongea na mkeo,akupe gharama zinazohitajika,utoe hiyo pesa,asigizie amechukua mkopo,na mtalipa wenyewe,ili ukamilishe zoezi hilo kwa mda unaotaka wewe.Lakini yakibuma usije kulaumu. Ulitakiwa uwe na numbers za wazazi,unasalimia,ka sikukuubunatuna hata elfu 50,mpaka wao wajiulize wewe ni nani.Mke anapigiwa debe ndugu yangu,labda kama wa bar. Pesa si kila kitu,hata kauli ni mhimu kwenye hilo jambo.Mawazo yangu tu hayo,labda nabwengine wachangie.
Asante
 
Dah mkuu huu ndo ushauri bora sana kwa huyu ndugu kwakweli
thanks so much kuna cha kujifunza hapa naomba niicopy hii niiweke mahala nitaedit kidogo
 
Kuna walakini, kuna baadhi ya ndugu hawapendi kuona mwingine aolewe kabla ya watoto wao wa kuwazaa.

Ndicho nachokiona kwako, angekuwa na wazazi wake hilo lisingesumbua.

Unachotakiwa kukifanya ni kutengeneza ukaribu na mlezi wake wa karibu (kuna mdau kashauri juu ya hili), aweze kukutetea kwa ndugu wengine na mfanikishe hilo zoezi bila mgongano.
 
Umewaza kama Mimi.. Waswahili tunatabu sana.
 
Habari za wanajamii za tangia mwaka Jana,

Naomba mnipe ushauri kwa suala ili linanisumbua akili yangu, mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 ninaishi Ufaransa ndiko nimejaliwa kufanya shughuli zangu, nina mchumba wangu (miaka 25) ambaye tumepanga kuoana mwaka huu mwezi wa 12, yeye anafanya kazi shirika moja la waholanzi hapo Dsm tokea mwezi wa 11 mwaka jana.

Ilianza hivi kabla sijaenda kusema chochote nyumbani kwamba mwaka huu naoa nilimshirikisha akakubali kuwa niseme nyumbani naye ameshasema kwa ndugu zake kadhaa ambao ni wakubwa.

Nikafunga safari nikaenda zangu Tarime kutoa taarifa kwamba mwaka huu naoa na nikawashirikisha na kuwaambia wazee wa ukoo na mila, wakakubaliana na mimi na wakasema kwamba umri unaruhusu na hakuna kipingamizi.

Na sababu walizonipa kwamba kama nilivyowaambia mwaka huu ndo nioe ili ndugu zangu wengine pia waoe miaka ijayo maana tupo wengi wanaotarajia kufunga ndoa mwaka 2019, 2020 na 2021 kila mmoja ana ratiba yake na tumepeana miaka kila mmoja ili tusiingiliane miaka na gharama za kufanya hayo zikawa kubwa kwa mwaka mmoja ndo maana kila mmoja akatenga mwaka wake, baada ya hapo wameshaanza kutafuta mshenga wa kupeleka barua na wameshampata, nikashika safari yangu nikarudi zangu kazini, nafika sijamaliza siku hata tatu mchumba wangu ananipigia simu kwamba familia yake wamekaa kikao wanaona kwamba harusi ifanyike mwaka ujao siyo huu.

Nikamuuliza sababu wametaja zipi;

1. Kwamba ndo amemaliza chuo hivyo si vema kumaliza chuo gafla anaolewa.

2. Kwamba kwanza afanye kazi angalau mwaka mmoja ndo ataolewa.

3. Hawajajipanga kuwa na harusi mwaka huu hasa send off kwamba hawako vema financially.

Lakin kwa upande wangu nimeona kama vile points hizo si strong sana maana.

Mosi: Amemaliza chuo mwaka Jana mwezi wa 6 hivo mpaka mwezi wa 12 mwaka huu atakuwa na mwaka na nusu tokea amalize chuo.

Pili: Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka minne mpaka sasa hivi ingekuwa wanasema nimempata mwka huu wangesema wanachunguza.

Tatu: Aliwashirikisha baadhi ya ndugu nikapewa go ahead ya kuwapa habari hizo wazee, kuwa mwaka huu ni harusi.

Nne: Naanzaje kuwaweka tena wazee chini na kuwapelekea habari nyingine ambayo watasema nimekurupuka kuwaambia bila kukubaliana kwanza.

Tano: Utayari wa kufanya harusi uwa upo kwa anayeoa, labda anayeolewa awe mwanafunzi, au mgonjwa, au awe chini ya miaka 18 ndo ukweni wanaweza ingilia

Naomba ushauri please

Nifanye nini hapo nipo kwenye mtihani mgumu mno.

Habari hii bado sijawaambia wazee tena nashindwa cha kufanya.

Je inawezekana ukweni wanipangie siku ya kufanya harusi mimi?

Note that binti hana wazazi wametangulia mbele ya haki Mungu aziweke roho zao mahala pema amina, hivyo kasomeshwa na ndugu hao hao.
Dunia ina mambo sanaaa,kuna wengine wanahamu ya kuolewa wanataka mtu atamke tu hata bila mahari wala sherehe wayamalize kanisani na kuna wengine wanapewa mwaka mzima kujiandaa wanasema hawako tayari,mnahangaika na sherehe za nini kama huna uwezo mnakubaliana tu mnaunganisha sendoff na harusi wapendanao ndo wanafanya hivyo kwa kuzingatia hali za familia zao,lakini hao ndugu wa binti hawamtakii mema huto binti maana wanaume huwa tunaweza badili maamuzi dakika moja ijayo na akasubiri sana kupata mtu mwingine,nina wasiwasi sana na huyo mchumba wako pengine amepata mchepuko hapa bongo anataka kulinganisha nani ampe nafasi ya kuwa nae maishani so be carefull huenda hayo maamuzi ni yake tu na hajashirikisha wa kwao anataka kupima upepo kwanza,ninachokushauri weka wapelelezi watakao kupa details za huyo mchumba wako huhitaji details za ndani sana we tafuta mtu amfuatilie kama kuna kijeba kinatoka naye ulishajua hivyo endelea na ulimwengu mwingine huo utakuwa si wako.
 
Ye anaishi na ndugu Hana wazaz
Sawa lakini sababu zao si za msingi sana hadi kuzuia ndoa,hapo ongea nao tu vizuri maana hii safari ya Ufaransa kuja Tz kwa mchumba si ya mchezo inabidi waangalie hilo pia na kuruhusu ndoa ifanyike mapema kadri wewe unavyopanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom