Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,132
- 79,246
leta proof ya hiki ulichoandika kwanza!Mimi ninakubaliana kabisa na ukweli kwamba babdari ya Mombasa inapokea mzigo mkubwa kuliko Kenya, soma reply yangu #35.
Nisingependa kuendeleza mjadala, ila ninakuomba uweke facts zako sawa kuhusu nchi za Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi, hizi zinatumia bandari ya Dar kwa 80% na Eastern DRC by 60% hizo zingine za Beira na Durban ni kiasi kidogo sana.