Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

aisee maswali yako yanaenda nje ya logical thinking! i can't help u make use of google! hiyo 20% sijui umeipata wapi!
Geza, kama unazo facts tusaidie, mimi ninajua kwamba sasa hivi kati ya 15 - 20 ya mizigo inayokwenda Uganda inapitia Dar, hasa baada ya WFP kuanza kupitishia mizigo yao Dar kwenda Uganda na South Sudan, kama upo data taarifa mpya tafadhali tujulishe.
 
Simple tu ni kwamba Kenya inaimport almost everything in its domestic market, hata ukiangalia asilimia kubwa ya mzigo wa Mombasa unaishia Kenya and most of it ni chakula tofauti na Tanzania ambayo importation rate yake ipo chini.
This is what we call logical reply.
 
Geza, kama unazo facts tusaidie, mimi ninajua kwamba sasa hivi kati ya 15 - 20 ya mizigo inayokwenda Uganda inapitia Dar, hasa baada ya WFP kuanza kupitishia mizigo yao Dar kwenda Uganda na South Sudan, kama upo data taarifa mpya tafadhali tujulishe.
The puzzle will be solved after SGR to Mwanza n wagon ferries (at least 4 for MSCL needed in Lake Victoria) to Port Bell r ready! Another 4 also for lake Tanganyika plus the ports currently U/C!
 
80℅ ya Mombasa cargo ni ya Kenya.
Iyo 20 iliyobaki ndio za nje.

Hebu tuambie huwa mna import vitu gani hapo kenya asee.. duh kumbuka mmeizidi port ya Dar kwa importation, sasa kama 80% ni import ya ndani lazima tujue huwa mna demand ya vitu gani kwa wingi hivyo na huwa vinakwenda wapi hivyo mnavyo import? Giving the size of your land ana population bado sioni logic hapo.

Hizo statistics za mizigo ya hapo mombasa hazina tofauti na figure ya GDP
 
Kwani Major exports za Zambia ni zipi?, ukiacha shaba, zambia inauza nini nje na kwa kiwango gani?
wacha ku-cram mzee sema cargo ya Zambia kupitia Dar port kwenda major consumer China! na oil imports kutoka middle east kupitia TAZAMA pipeline !
 
Kaka kama hujui kwamba Bandari ya Mombasa inahudumia mizigo mingi kwa mwaka kuliko Dar, basi ninakusamehe kwa MOYO mkunjufu huu uzi haukufai, kuwa mtazamaji inatosha.
Sasa mbona kipindi cha korona kulikua na ugumu wa kusafirisha mizigo ikawa kuna makontena yalikwama ya Rwanda Kwa upande wa Kenya yalikua 60 Kwa upande wa TANZANIA yalikuwa 2000 hii imekaaje
 
Hebu tuambie huwa mna import vitu gani hapo kenya asee.. duh kumbuka mmeizidi port ya Dar kwa importation, sasa kama 80% ni import ya ndani lazima tujue huwa mna demand ya vitu gani kwa wingi hivyo na huwa vinakwenda wapi hivyo mnavyo import? Giving the size of your land ana population bado sioni logic hapo.

Hizo statistics za mizigo ya hapo mombasa hazina tofauti na figure ya GDP
Wewe unafikiria mbali sana, ila ni kweli hizo data za mzigo wa Mombasa, hawapiki chochote. Kitu cha kujiuliza ni mizigo gani hasa Kenya na Uganda wanaagiza na kupeleka nje kiasi kuizidi Dar kwa mbali ambayo inahudumia nchi nyingi kuliko Mombasa?
 
Iweje Uganda, South Sudan,na Kenya ambao ndio watumiaji wakubwa wa Bandari ya Mombasa wazidi Tanzania, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi na Easter DRC?
Kuna kitu cha kuelew hapo kwanza kunya ...wana chukua mzig wa waganda zaid y 80% wakat pale s.sudan 100% , pia bado kuna vishare wanapat toka rwanda, kongo, pia ujue ethiopia ni nchi kubwa sn kuwa handled n djbout pekeyake....hiii ni moja
Kabla ya expansition of Dar port ilikuw haiwez kudoc ship kubwa ilikuw mpka ziende msa kisha mizigo iamishiwe kweny ship ndog ndio ije Dar port...hili nalo lilipunguz mizigo sana....
Tatu tulikuw na maswala ya kuibiw kwa makonten bandarin ...hii ilituchafua sana na kudiscourage upatikanaji wa mizigo...
Wao wenyew wakenya wana import sana ndio mana mizig ni mingi....
 
Kuna kitu cha kuelew hapo kwanza kunya ...wana chukua mzig wa waganda zaid y 80% wakat pale s.sudan 100% , pia bado kuna vishare wanapat toka rwanda, kongo, pia ujue ethiopia ni nchi kubwa sn kuwa handled n djbout pekeyake....hiii ni moja
Kabla ya expansition of Dar port ilikuw haiwez kudoc ship kubwa ilikuw mpka ziende msa kisha mizigo iamishiwe kweny ship ndog ndio ije Dar port...hili nalo lilipunguz mizigo sana....
Tatu tulikuw na maswala ya kuibiw kwa makonten bandarin ...hii ilituchafua sana na kudiscourage upatikanaji wa mizigo...
Kaka point yako moja ndiyo inayojibu swali la kwanini Mombasa inapokea mizigo mingi. Dar port ilikua kwa muda mrefu inatumika Kama "feeder" port kwa Mombasa port, kwamba mizigo inashushwa Mombasa ndio baadae inachukuliwa na meli ndogondogo kuja Dar, vivyo hivyo kwa exports, zinatoka Dar hadi Mombasa, zinabadishwa meli zingine, hiyo ndio sababu kubwa.
 
Geza leo sikuelewi, sijui tatizo liko kwangu au kwako.
Yaani mzee najua nia yako ni ku-dispute the cargo volume ya Mombasa ila si wakati wote unaweza tumia nadharia! Stats zipo na hizo nchi za SADC ulizo-mention less than 30% of their cargo goes through Dar port! usiwe na shaka pipelines zote za EACOP zitapitia Tanga port!
 
Wewe unafikiria mbali sana, ila ni kweli hizo data za mzigo wa Mombasa, hawapiki chochote. Kitu cha kujiuliza ni mizigo gani hasa Kenya na Uganda wanaagiza na kupeleka nje kiasi kuizidi Dar kwa mbali ambayo inahudumia nchi nyingi kuliko Mombasa?

Mkuu, trust me huwezi kupata majibu ya maswali yako. Hakuna mwenye majibu ya kueleweka na kwanza hayo majibu hayapo.
 
Kaka point yako moja ndiyo inayojibu swali la kwanini Mombasa inapokea mizigo mingi. Dar port ilikua kwa muda mrefu inatumika Kama "feeder" port kwa Mombasa port, kwamba mizigo inashushwa Mombasa ndio baadae inachukuliwa na meli ndogondogo kuja Dar, vivyo hivyo kwa exports, zinatoka Dar hadi Mombasa, zinabadishwa meli zingine, hiyo ndio sababu kubwa.
Pia kuna swala la hao kunya kuingiz mizigo mingi inayo ishia nirrobary....
 
Kaka point yako moja ndiyo inayojibu swali la kwanini Mombasa inapokea mizigo mingi. Dar port ilikua kwa muda mrefu inatumika Kama "feeder" port kwa Mombasa port, kwamba mizigo inashushwa Mombasa ndio baadae inachukuliwa na meli ndogondogo kuja Dar, vivyo hivyo kwa exports, zinatoka Dar hadi Mombasa, zinabadishwa meli zingine, hiyo ndio sababu kubwa.
hapa umeanza kujijibu na ndo maana nasisitiza kuwa SGR central corridor ikiisha itakuwa a big win kwa sisi! maana kuna upanuzi wa ports zote za Tanzania!
 
Yaani mzee najua nia yako ni ku-dispute the cargo volume ya Mombasa ila si wakati wote unaweza tumia nadharia! Stats zipo na hizo nchi za SADC ulizo-mention less than 30% of their cargo goes through Dar port! usiwe na shaka pipelines zote za EACOP zitapitia Tanga port!
Mimi ninakubaliana kabisa na ukweli kwamba babdari ya Mombasa inapokea mzigo mkubwa kuliko Kenya, soma reply yangu #35.

Nisingependa kuendeleza mjadala, ila ninakuomba uweke facts zako sawa kuhusu nchi za Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi, hizi zinatumia bandari ya Dar kwa 80% na Eastern DRC by 60% hizo zingine za Beira na Durban ni kiasi kidogo sana.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom