Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
30,511
2,000
Mimi ninakubaliana kabisa na ukweli kwamba babdari ya Mombasa inapokea mzigo mkubwa kuliko Kenya, soma reply yangu #35.

Nisingependa kuendeleza mjadala, ila ninakuomba uweke facts zako sawa kuhusu nchi za Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi, hizi zinatumia bandari ya Dar kwa 80% na Eastern DRC by 60% hizo zingine za Beira na Durban ni kiasi kidogo sana.
leta proof ya hiki ulichoandika kwanza!
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
16,587
2,000
Pia kuna swala la hao kunya kuingiz mizigo mingi inayo ishia nirrobary....
Ndio tunataka kujua ni mizigo gani mingi ambayo Kenya inaagiza kiasi cha kutuzidi sisi wenye nchi kubwa na watu wengi ukiacha Chakula ambacho sisi hatuagizi toka nje?, je ni malighafi kwa ajili ya viwanda?
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
16,587
2,000
hapa umeanza kujijibu na ndo maana nasisitiza kuwa SGR central corridor ikiisha itakuwa a big win kwa sisi! maana kuna upanuzi wa ports zote za Tanzania!
Jibu sio SGR, jibu ni upanuzi wa Dar port ubaoendelea ambao utawezesha meli kubwa Aina zote kufika Dar moja kwa moja badala ya kushusha Mombasa na kufaulisha katika meli zingine
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
30,511
2,000
Jibu sio SGR, jibu ni upanuzi wa Dar port ubaoendelea ambao utawezesha meli kubwa Aina zote kufika Dar moja kwa moja badala ya kushusha Mombasa na kufaulisha katika meli zingine
Nimeomba proof ya hii wacha kuzuga!

Mimi ninakubaliana kabisa na ukweli kwamba babdari ya Mombasa inapokea mzigo mkubwa kuliko Kenya, soma reply yangu #35.

Nisingependa kuendeleza mjadala, ila ninakuomba uweke facts zako sawa kuhusu nchi za Zambia, Malawi, Rwanda na Burundi, hizi zinatumia bandari ya Dar kwa 80% na Eastern DRC by 60% hizo zingine za Beira na Durban ni kiasi kidogo sana.
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,326
2,000
Kuna kitu cha kuelew hapo kwanza kunya ...wana chukua mzig wa waganda zaid y 80% wakat pale s.sudan 100% , pia bado kuna vishare wanapat toka rwanda, kongo, pia ujue ethiopia ni nchi kubwa sn kuwa handled n djbout pekeyake....hiii ni moja
Kabla ya expansition of Dar port ilikuw haiwez kudoc ship kubwa ilikuw mpka ziende msa kisha mizigo iamishiwe kweny ship ndog ndio ije Dar port...hili nalo lilipunguz mizigo sana....
Tatu tulikuw na maswala ya kuibiw kwa makonten bandarin ...hii ilituchafua sana na kudiscourage upatikanaji wa mizigo...
Wao wenyew wakenya wana import sana ndio mana mizig ni mingi....
Mbona mna under estimate port ya Dar hivyo wakuu? Yani unasema bandari ya Dar ni ndogo kuliko ya Mombasa? Kabla ya huu upanuzi wa sasa tayari Dar port ilikuw ina dock Panamax, Santa Rosa et hizo angalia ni meli za size gani na zilikuwa zinashusha na kupakia hapo, Halafu upande wa mafuta bado Dar ina Oil Jetty kubwa kuliko mombasa na ina shusha mafuta mengi kuliko mombasa maana kwa ukanda huu Dar ina supply mafuta karibu nchi zote zinazotuzunguka. Bado kwa upande wa magari Dar iko na magari mengi kuliko mombasa. Gari za Zambia, Congo, Rwanda, Burundi hadi Zimbabwe zinashuka Dar port hapo.

Kwenye export ndio usiseme, hizo shaba na madini mengine ya Congo, Zambia na TZ, mazao ya misitu kutoka Congo na hapa bongo, mazao mbali mbali..asee operations za Dar port sio mchezo wakuu. Hadi kenya wenyewe sometimes wanatumia Dar port. Bandari ya Dar inapiga kazi haswa wakuu. Ndio maana ningependa tukapata type of merchandise ambazo zinakuwa loaded and off loaded kwenye hizi bandari mbili ndio tunaweza kupata ni ipi iko na operations kubwa zaidi. Hapa tukitaja tu figures za statistics ni kujidanganya, tutaje products na nchi inazo serve ndio tutapata data vizuri.
 
Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
261
500
Ni wazi kwamba kwa muda mrefu tumekua tukilinganisha na kutunishiana misuli kati ya Kenya na Tanzania kwa kulinganisha maeneo mbalimbali ya kimaendeleo, kisiasa, kijamii na kimichezo.

Sasa hivi kila mmoja wetu hapa JF na nje ya JF raia wa hizi nchi mbili anayefuatilia kwa makini yanayotokea, tayari amepata jibu la huu mnyukano unavyoelekea, na hali ilivyo kati ya Kenya na Tanzania.

Binadamu tumeumbwa na mapungufu mengi, hasa sisi waafrika tumeumbwa na mapungufu ya kutokubali kushindwa na kukiri hadharani, ndio sababu ukiachana na Nigeria, Ghana na South Africa, Hakuna nchi ambako walioshindwa kiti cha urais wamekiri na kuwapongeza walioshinda, japo baadae wanakiri kwamba kweli walishindwa.

Ombi langu kwasasa, ni vizuri kupunguza malumbano ya kulinganisha kwa lengo la kishabiki ili kuonekana upande mmoja ni bora kuliko upande mwingine, badala yake kujaribu kuonyesha yale ambayo tunahisi upande wa pili unafanya vizuri ili upande mwengine uweze kujifunza.

Mimi binafsi ningependa sana kujua na kujifunza kwanini bandari ya Mombasa inapata na kupokea mizigo mingi kuliko bandari ya Dar es salaam wakati bandari ya Dar es salaam inahudumia nchi nyingi kuliko Mombasa?

Karibuni wadau kuchangia?
Mkuu usitutoe kwenye hoja ya Kenya kuipigia magoti Tanzania kuhusu KQ! Hebu mtuambie mliwaza nini kusema tz kuna korona hadi raisi wenu kasema maneno ya kunya kiasi kile?
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
16,587
2,000
Mkuu usitutoe kwenye hoja ya Kenya kuipigia magoti Tanzania kuhusu KQ! Hebu mtuambie mliwaza nini kusema tz kuna korona hadi raisi wenu kasema maneno ya kunya kiasi kile?
Mkuu, sisi ni watu wazima tunatumia busara kupooza hii aibu iliyomkuta jirani. Ukimuona bondia amepigwa ngumi 8 bila kurudisha majibu.hupaswi kuendelea kurusha makonde, bondia akichuchumaa, sio lazima aseme kwamba nimeshindwa.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
30,511
2,000
Mimi sipendi huu uzi tuupeleke kama unavyopenda wewe, ni vizuri tukajadili kwa staha kidogo, kwasababu mimi na wewe tukivutana haipendezi sana
Unaongea vitu from thin air mzee? mbona unajipa stats za kusadikika? Nataka ugundue kwanza hizo stats si kweli! u have to back up ur argument if not the case huwezi ukatengeneza scenario halafu ukajipa jibu!
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
16,587
2,000
Unaongea vitu from thin air mzee? mbona unajipa stats za kusadikika? Nataka ugundue kwanza hizo stats si kweli! u have to back up ur argument if not the case huwezi ukatengeneza scenario halafu ukajipa jibu!
Main export za Zambia ni Shaba na cobalt ambazo ni zaidi ya 90% ya exports zote za Zambia, na zote zinapitia Dar, Imports za Zambia ni machines, Chemicals na animals na bidhaa zingine ambazo sio bulky na Magari ambavyo baadhi vinapitia Durban na vingine Dar. Kidogo sana vinapitia Namibia na Beira.
 
Justinr

JF-Expert Member
May 22, 2020
1,019
2,000
Mbona mna under estimate port ya Dar hivyo wakuu? Yani unasema bandari ya Dar ni ndogo kuliko ya Mombasa? Kabla ya huu upanuzi wa sasa tayari Dar port ilikuw ina dock Panamax, Santa Rosa et hizo angalia ni meli za size gani na zilikuwa zinashusha na kupakia hapo, Halafu upande wa mafuta bado Dar ina Oil Jetty kubwa kuliko mombasa na ina shusha mafuta mengi kuliko mombasa maana kwa ukanda huu Dar ina supply mafuta karibu nchi zote zinazotuzunguka. Bado kwa upande wa magari Dar iko na magari mengi kuliko mombasa. Gari za Zambia, Congo, Rwanda, Burundi hadi Zimbabwe zinashuka Dar port hapo.

Kwenye export ndio usiseme, hizo shaba na madini mengine ya Congo, Zambia na TZ, mazao ya misitu kutoka Congo na hapa bongo, mazao mbali mbali..asee operations za Dar port sio mchezo wakuu. Hadi kenya wenyewe sometimes wanatumia Dar port. Bandari ya Dar inapiga kazi haswa wakuu. Ndio maana ningependa tukapata type of merchandise ambazo zinakuwa loaded and off loaded kwenye hizi bandari mbili ndio tunaweza kupata ni ipi iko na operations kubwa zaidi. Hapa tukitaja tu figures za statistics ni kujidanganya, tutaje products na nchi inazo serve ndio tutapata data vizuri.
Mm siwez undermine nguvu ya bandar yetu mkuu...ila kabla y upanuzi huu kuna meli zilikuw kwel zinashindwa kuingia sababu kina cha maji pale mlango wa kuingilia ....ila upanuzi huu pia umefany uchimbaj wa lango la bahari....
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
16,587
2,000
Mm siwez undermine nguvu ya bandar yetu mkuu...ila kabla y upanuzi huu kuna meli zilikuw kwel zinashindwa kuingia sababu kina cha maji pale mlango wa kuingilia ....ila upanuzi huu pia umefany uchimbaj wa lango la bahari....
Hii ndio sababu kubwa inayosababisha bandari ya Kenya kuonekana inahudumia mzigo mkubwa kuliko Dar. Hii maana yake ni kwamba mizigo inashusha toka katika meli kubwa na kuhifadhiwa bandarini ili kusubiri meli zingine ndogo kuja kuchukua na kuleta Tanzania, hii mizigo haiingii Kenya ni Kama ipo on transit.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
30,511
2,000
Main export za Zambia ni Shaba na cobalt ambazo ni zaidi ya 90% ya exports zote za Zambia, na zote zinapitia Dar, Imports za Zambia ni machines, Chemicals na animals na bidhaa zingine ambazo sio bulky na Magari ambavyo baadhi vinapitia Durban na vingine Dar. Kidogo sana vinapitia Namibia na Beira.
leta facts! ila mzee umeharibu mjadala
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,326
2,000
Mm siwez undermine nguvu ya bandar yetu mkuu...ila kabla y upanuzi huu kuna meli zilikuw kwel zinashindwa kuingia sababu kina cha maji pale mlango wa kuingilia ....ila upanuzi huu pia umefany uchimbaj wa lango la bahari....
Mkuu nimesema kabla ya huu upanuzi Panamax tayari ilikuwa ina-dock hapo. Sasa jiulize mombasa imetua Panamax lini? Hiyo kusema kwamba port ya mombasa ni kubwa ndio maana ilikuwa ina serve Dar sio kweli. Hapo labda ni priority tu za route ya hiyo meli. Mimi nimefatilia sana hayo mambo ya maritime trade hivyo lazima tuende kwa fact. Kwa upanuzi huu ndio kabisa port ya Dar haishikiki ukanda huu.. Halafu hapo tunaongelea Dar port, vipi ulishafatilia kuhusu TICTS operations zake na efficiency yake kwa ujumla?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom