Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Kwa hali iliyopo, nashauri UKAWA waite maandamano ili kupima kama kuna watu wanawaunga bado mitaani. Hii ni kutokana na hali inayoendelea mitandaoni kuwa UKAWA wameishia zao baada ya uchaguzi uliopita.
Tuna kumbuka wa mwitikio wa watu kwenye maandamano ulivyokuwa mkubwa kuanzia 2010 hadi 2015. Hii itasaidia pia kueneza falsafa mpya ya "mfumo" baada ya ile ya "ufisadi" iliyo koma rasmi mwaka jana.
Wanaweza anzia mikoa iliyoonyesha kuwaunga zaidi kama Mbeya, Arusha, DSM hata KLM.