Kama watakubali kukuuzieni au kama mtawafiki bei watakayokupeniUmofia kwenu,
Kutokana na sintofahamu ya nini, na kipi kinapatikana kutoka kwenye mchanga wa dhahabu. Ningeomba kutoa mawazo yangu, kama ikiwezekana, tuanze kununua mchanga wa dhahabu kutoka migodini, na twende tukachenjue wenyewe.
Ni mtazamo tu
Bei si ndio hiyo tuliyoiona ni uongo. Tununue tuchenjue wenyeweKama watakubali kukuuzieni au kama mtawafiki bei watakayokupeni
Jazaa ya mikataba mibovu ya CCM ndio matunda yake hayo. Sasa iliobaki ni kulana wenyewe kwa wenyeweBei si ndio hiyo tuliyoiona ni uongo. Tununue tuchenjue wenyewe
Douh! Sheikh mwezi mtukufu kesho.kulana wenyewe kwa wenyewe
Na kwa nini tununue wakati wao dhahabu yetu hawanunui ?[/QUO
Hivi kumbe tunawapa bure bure Kabisa....Mungu wangu!!!!!!
Hatukuchangia kwenye utafiti na uwekezaji. Ndio maana yetu 4% mrabahaNa kwa nini tununue wakati wao dhahabu yetu hawanunui ?
Na kwa nini tununue wakati wao dhahabu yetu hawanunui ?
Hatukuchangia kwenye utafiti na uwekezaji. Ndio maana yetu 4% mrahaba