USHAURI: TRA wawatumie TANESCO kama mawakala wa kodi ya majengo

Kodi hii inatozwa kwa kila jengo lililoko mjini na mjini majengo mengi yana umeme

Nashauri TRA wawatumie Tanesco kama mawakala wa kuwakusanyia kodi ya majengo

Unapoanza mwaka wa fedha ili luku yako itimie, basi jazia na elfu kumi na kitu za majengo

Hii itapunguza usumbufu na itaifanya serikali ipate kodi kwa wakati na mapema na itapunguza gharama za kuikusanya kwa wote wananchi na serikali
Vipi wanaotumia solar, maeneo yasiyo na umeme lakini wanatakiwa kulipa property tax, wenye condos/ unit zinazotumia luku moja, assessment ya wamiliki wapya wa majengo....changamoto bado ni nyingi
 
Vipi wanaotumia solar, maeneo yasiyo na umeme lakini wanatakiwa kulipa property tax, wenye condos/ unit zinazotumia luku moja, assessment ya wamiliki wapya wa majengo....changamoto bado ni nyingi
Haya uliyosema yaangaliwe pia jinsi ya kuyafanyia kazi
 
napingana na hii haina logic yoyote ya kisayansi. kuna watu wengi hawafikiwa umeme
Tusaidie hao tunafanyaje......pia wanaweza kubaki katika mfumo wa sasa at the same time serikali imepata urahisi kukusanya kwa walio na umeme....kumbuka kodi ya majengo haiwahusu wa vijijini kwa sasa.. Though wataungwa tu baadae
 
Creative thinking such as this are highly needed towards solving socio - economic problems to enhance sustainable development.We can.
 
Back
Top Bottom