chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,983
- 20,634
Kodi hii inatozwa kwa kila jengo lililoko mjini na mjini majengo mengi yana umeme
Nashauri TRA wawatumie Tanesco kama mawakala wa kuwakusanyia kodi ya majengo
Unapoanza mwaka wa fedha ili luku yako itimie, basi jazia na elfu kumi na kitu za majengo
Hii itapunguza usumbufu na itaifanya serikali ipate kodi kwa wakati na mapema na itapunguza gharama za kuikusanya kwa wote wananchi na serikali