Ushauri. Toyota allion au toyota allex

dopeboy

Senior Member
Sep 22, 2014
121
100
Ninaomba msaada wa ushauri kutoka kwa wazoefu ukizingatia ulaji wa mafuta na bei ya gari. Ipi ni good bargain?
 
Jamani naomba nitoe ushauri wa jumla wa haya magari madogo ya toyota
1.mini cars:vits/duet/passo haya yote ya engines sawa[iliopo huku ipo na huku] kwahio BASICALLY ni gari moja so hapa unachagua shape unayoipenda factors nyingine zote zinalingana na unafuu wa bei
2.small saloons:corolla/allion/allex/run x/carina ti nazo zina engine zinazoingia huku na huku na parts nyingi ni zile zile,kwahio na hapa unachagua shape uipendayo vitu vingine vyote basically the same
3.medium saloons:gx100/gx110 iwe verossa/mk2/cresta hizi nazo kuanzia engine na parts nyingine zinaingiliana kwahio na hapa unachagua tu shape uipendayo. Baada ya hizi ndio Mark X imechukua nafasi.
 
sijaona sehem ilipo brevis
 
sijaona sehem ilipo brevis
brevis nimeiacha makusudi, ni unsuccessful vehicle. ilipoisha mark 2 wakajaribu verossa ikafeli,brevis ikafeli mpaka wakapata mark x ndio ipo hadi leo kwenye segment ya medium size saloon.
 
Jamani naomba nitoe ushauri wa jumla wa haya magari madogo ya toyota
1.mini cars:vits/duet/passo haya yote ya engines sawa[iliopo huku ipo na huku] kwahio BASICALLY ni gari moja so hapa unachagua shape unayoipenda factors nyingine zote zinalingana na unafuu wa bei
2.small saloons:corolla/allion/allex/run x/carina ti nazo zina engine zinazoingia huku na huku na parts nyingi ni zile zile,kwahio na hapa unachagua shape uipendayo vitu vingine vyote basically the same
3.medium saloons:gx100/gx110 iwe verossa/mk2/cresta hizi nazo kuanzia engine na parts nyingine zinaingiliana kwahio na hapa unachagua tu shape uipendayo. Baada ya hizi ndio Mark X imechukua nafasi.
Mkuu premio hujaitaja iko kundi gani hapo
 
Back
Top Bottom