Ushauri...tigo/mpesa vs bank account

K

kijana255

Senior Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
138
Likes
117
Points
60
K

kijana255

Senior Member
Joined Mar 5, 2017
138 117 60
naombeni ushauri na uzoefu kati ya account za benk na mitandao ya simu ipi ni njia sahihi ya kuweka akiba kidogo kidogo bila shida na matatizo hata kwa mwaka mzima.......nawasilisha
 
kikositija

kikositija

Senior Member
Joined
Jun 19, 2017
Messages
124
Likes
99
Points
45
kikositija

kikositija

Senior Member
Joined Jun 19, 2017
124 99 45
naombeni ushauri na uzoefu kati ya account za benk na mitandao ya simu ipi ni njia sahihi ya kuweka akiba kidogo kidogo bila shida na matatizo hata kwa mwaka mzima.......nawasilisha
bank ni sehemu sahihi na salama zaidi kuliko mitandaoni(tigopesa, m pesa nk)
shida ni pale unapopata katatizo ni fasta sana kunyamua pesa mtandaoni kuliko kuchukua pesa bank
ni kama vile pesa mtandaoni ipo sebuleni
..我 na pesa bank ipo chumbani...
halikadhalika kuweka pesa mtandaoni ni vyepesi zaidi kuliko ilivyo kuweka pesa bank...
chaguo ni lako aka kazi ni kwako!
 
P

papaa musofe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
849
Likes
1,468
Points
180
P

papaa musofe

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
849 1,468 180
pesa ni kama chakula kilichoiva,unakula muda wowote na aina uitakayo
 
K

kijana255

Senior Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
138
Likes
117
Points
60
K

kijana255

Senior Member
Joined Mar 5, 2017
138 117 60
bank ni sehemu sahihi na salama zaidi kuliko mitandaoni(tigopesa, m pesa nk)
shida ni pale unapopata katatizo ni fasta sana kunyamua pesa mtandaoni kuliko kuchukua pesa bank
ni kama vile pesa mtandaoni ipo sebuleni
..我 na pesa bank ipo chumbani...
halikadhalika kuweka pesa mtandaoni ni vyepesi zaidi kuliko ilivyo kuweka pesa bank...
chaguo ni lako aka kazi ni kwako!
Nimekuelewaa
 
Forum statistics

Threads 1,235,326
Members 474,524
Posts 29,218,559