ushauri tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri tafadhali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shauri, Jun 22, 2012.

 1. S

  Shauri JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  helo wana jf
  nimetokea kumpenda msichana wa kimbulu(pande za manyara) ila bado sijajua tabia zao.kwa wanaofahamu tabia za kabila hili naomba mchango wenu.asante:biggrin:
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wana tabia za kimbulu
   
 3. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Wanapenda mzigo balaaaa ... sasa ukisafiri lazima uende naye ukaendeleze kula tuned otherwise watamla maana hatoweza vumilia kamwe!
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tabia hutofautiana Kati ya mtu Na mtu kutokana Na mazingira aliyolelewa Na Imani yake pia. Sasa ukijumlisha hapo, utajidanganya.
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Yale yaleeeeeee stereotyping......
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Stereo ni redio
  Typing ni kuandika

  kwa hiyo wanawaredioandika?

   
 7. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kamuulize mzazi wake maana ndie anamjua kitabia lakini kuhusu kabila,siku hizi mtu analelewa kulingana na mazingira na sio kikabila.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu Shauri ukimtoa huko kijijini ukamleta mjini wahuni lazima wakugongee ni harage la Mbeya maji mara moja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  kila m2 ana tabia yake,japo wakat mwingne mazingira anayokulia m2 yanamuathiri sana,la muhmu take time umsome m2 wako,ukiridhika nae vuta mzigo ndani.
   
Loading...