Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,154
- 13,376
Habari za kwenu?
Nina shemeji yangu amemaliza form four mwaka jana,na kupata alama ya D moja tu ya Kiswahili,kwa maana hiyo amepata Div Zero,alisoma shule za kata.
Sasa amesema anataka kurudi shule ikiwezekana arudie kidato cha pili au cha tatu ili aweze kufanya tena mtihani wa kidato cha nne,miaka ijayo.
Naomba msada wa kujua ni shule gani inaweza kuwa nzuri na kupata nafasi? Ningependelea apate shule ya boarding iliyopo kati ya mikoa ya kaskazini (Tanga,Kilimanjaro,Arusha na Manyara) maana ni jirani na nyumbani kwao.
Naomba sana ushirikiano wenu katika hili.
Asante.
Mawasilino ni PM au weka hapa jukwaani!