Ushauri tafadhali - Toyota Vitz, Duet, Allex, RunX, Suzuki SWIFT,

Lazima ukue kimtazamo, we kama hujaona waache wenzio wanaojua wamshauri, this is uncivilized habits achana nayo, inawezekana aliyeomba ushauri huko ndo uwezo wake ulipo. Ebu kuwa kidogo.
Axhana naye fala huyo watu kama hao huwa hawakui kimtazamo mtu anaongelea sprinter gari ya 98 mika 20 back halafu anakatisha wenzake tamaa. Kisa mjombaake alikuwa na spribter akakaa nayo miaka kumi basi ndo gari la milele!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom