Senior Lecturer
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 177
- 74
Habari wana-Jamii!
Naomba ushauri wenu! Nimeitiwa kazi Durban S.A na dada yangu {kule ameolewa na raia wa SA} kwa muda mrefu amekuwa akinishawishi, mm ni graduate, hoja yake kubwa ni malipo, graduate ana malipo mazuri kule! kwa hapa mm ni mwajiriwa wa Serikali! Fani yangu ni ELECTRONICS!
{Hapa ndio nataka ushauri} Nataka kuaga rasmi ofisini kwa style ambayo hata kama mambo yataenda vibaya kule, niweze kurudi baada ya let say 6 months, na nipokelewe kuendelea na kazi yangu hapa ofisini! Anaejua utaratibu mzuri wa kusitisha ajira kwa kipindi kama miezi 6 ama hata mwaka 1, na baadae ukawa na fursa ya kurudi tena kazini, please ushauri!
Natunguliza shukrani zangu!