Ushauri tafadhali jinsi ya kusitisha ajira kwa muda

Senior Lecturer

Senior Member
Jan 19, 2013
177
74
Habari wana-Jamii!

Naomba ushauri wenu! Nimeitiwa kazi Durban S.A na dada yangu {kule ameolewa na raia wa SA} kwa muda mrefu amekuwa akinishawishi, mm ni graduate, hoja yake kubwa ni malipo, graduate ana malipo mazuri kule! kwa hapa mm ni mwajiriwa wa Serikali! Fani yangu ni ELECTRONICS!

{Hapa ndio nataka ushauri} Nataka kuaga rasmi ofisini kwa style ambayo hata kama mambo yataenda vibaya kule, niweze kurudi baada ya let say 6 months, na nipokelewe kuendelea na kazi yangu hapa ofisini! Anaejua utaratibu mzuri wa kusitisha ajira kwa kipindi kama miezi 6 ama hata mwaka 1, na baadae ukawa na fursa ya kurudi tena kazini, please ushauri!

Natunguliza shukrani zangu!
 
Hapo cha kufanya ingia online ingia chuo kimojawapo apply admission ya masters. Kuna vyuo ambavyo havikatai watu...watakupa admisision...unaomba unpaid study leave hapo seriaklini...incase wakihitaji back-up information unawaonyesha admission.

hapo unatakuwa umepata sababu ya kuondoka salama....ikitokea mambo yameenda ndivyo sivyo huko utajua namna ya kudanganya kuwa umekuwa-discontinued wakati wakurudi...1 step at a time.
 
Habari wana-Jamii!

Naomba ushauri wenu! Nimeitiwa kazi Durban S.A na dada yangu {kule ameolewa na raia wa SA} kwa muda mrefu amekuwa akinishawishi, mm ni graduate, hoja yake kubwa ni malipo, graduate ana malipo mazuri kule! kwa hapa mm ni mwajiriwa wa Serikali! Fani yangu ni ELECTRONICS!

{Hapa ndio nataka ushauri} Nataka kuaga rasmi ofisini kwa style ambayo hata kama mambo yataenda vibaya kule, niweze kurudi baada ya let say 6 months, na nipokelewe kuendelea na kazi yangu hapa ofisini! Anaejua utaratibu mzuri wa kusitisha ajira kwa kipindi kama miezi 6 ama hata mwaka 1, na baadae ukawa na fursa ya kurudi tena kazini, please ushauri!

Natunguliza shukrani zangu!

kuna kitu kinaitwa likizo isiyokuwa na malipo hivi imefutwa ile...oficin kwetu kuna mutu aliiomba mwaka 2012 na akapewa ya miaka mitano hebu fatilia hapo kwako
 
kuna kitu kinaitwa likizo isiyokuwa na malipo hivi imefutwa ile...oficin kwetu kuna mutu aliiomba mwaka 2012 na akapewa ya miaka mitano hebu fatilia hapo kwako
Ni sawa, nenda Utumishi waeleze kuwa unaomba likizo bila malipo kwa ajili ya kwenda SA kumsaidia dada yako ambaye ni mgonjwa. Utaruhusiwa kwa mwaka mmoja. Hongera na usisahau kuleta remittances maana nchi kama Ghana, Ethiopia na Uganda zimepiga hatua si kwa kuwa wana madini ila kwa watu ambao wamepata ajira hata kama za Jack Cliff lakini wanarudisha ngawira nyumbani. Uzuri wa hili ni kuwa ukiamua kurudi ukajenga nyumba, mimi nitakuwa wa kwanza kubeba zege na hapo nitaweza pata mtaji wa kuja Bongo na kuanza umachinga. Hongera na asante sana
 
Mambo kama haya ni muhimu sana kujua. Mm mwenyewe karibia napata bingo flani ya kwenda Netherlands. Mawazo Haya yatanisaidia sana
 
Hapo cha kufanya ingia
online ingia chuo kimojawapo apply admission ya masters. Kuna vyuo
ambavyo havikatai watu...watakupa admisision...unaomba unpaid study
leave hapo seriaklini...incase wakihitaji back-up information
unawaonyesha admission.

hapo unatakuwa umepata sababu ya kuondoka salama....ikitokea mambo
yameenda ndivyo sivyo huko utajua namna ya kudanganya kuwa
umekuwa-discontinued wakati wakurudi...1 step at a time.

Good advice! Changamoto iliopo hapo ss, nilitaka kwenda June na kwa ushauri wk sintakuwa na admm letter, so itanidi nisubiri mpk October kwa hv vyuo vyetu vinavoanza academic yr oct!
Thanx kwa advice!
 
kuna kitu kinaitwa likizo
isiyokuwa na malipo hivi imefutwa ile...oficin kwetu kuna mutu aliiomba
mwaka 2012 na akapewa ya miaka mitano hebu fatilia hapo kwako

Bado ipo hiyo njia, ila shida ipo ktk ushahidi wa sababu ya kuomba likizo!
 
Ni sawa, nenda Utumishi
waeleze kuwa unaomba likizo bila malipo kwa ajili ya kwenda SA kumsaidia
dada yako ambaye ni mgonjwa. Utaruhusiwa kwa mwaka mmoja. Hongera na
usisahau kuleta remittances maana nchi kama Ghana, Ethiopia na Uganda
zimepiga hatua si kwa kuwa wana madini ila kwa watu ambao wamepata ajira
hata kama za Jack Cliff lakini wanarudisha ngawira nyumbani. Uzuri wa
hili ni kuwa ukiamua kurudi ukajenga nyumba, mimi nitakuwa wa kwanza
kubeba zege na hapo nitaweza pata mtaji wa kuja Bongo na kuanza
umachinga. Hongera na asante sana

Bobezi nakushukuru sana! usijali ndg, tutakumbukana! Ngoja nijaribu maana umri unaenda na majukumu yanaongezeka!
 
Kuhusu likizo bila malipo kwa mtumishi wa umma rejea public service standing orders of 2009 section hii hapa:

H.19 Leave without Pay:
(1) It is the Government's policy not to grant leave without pay to employees. However, the Permanent Secretary (Establishments) may grant leave without pay to public servants provided that he is satisfied that it is in the public interest to do so. Such approval shall be obtained before a public servant goes on leave without pay.

(2) Leave without pay may be granted to a public servant who stands for political elections or who attends higher education, a course or training or accompanying a spouse outside the country which is not in the training programme of the employer. Where the public servant is on pensionable terms under Section 18 (b)(i) of the Public Service Retirement Benefits Act, Cap.371 shall apply.

Applications for leave without pay described above shall be made through the employer who shall forward it with recommendations to the Permanent Secretary (Establishments), for approval.
 
Hapo itabidi uombe unpaid leave ya mwaka mmoja Utumishi,ila msomeshe kwanza immediate employer. Km unakusudia kurudi serikalini hakikisha unapata hiyo clearance ni muhimu sana tena sana.
 
Back
Top Bottom