Ushauri tafadhali:Je,nikienda wizarani kuomba msaada wa kusomeshwa nitakubaliwa au la?

Poluyakhtov

JF-Expert Member
May 9, 2017
356
297
Habari za muda huu wakuu,


Bila kupoteza muda,nina mpango wa kusomea stashahada ya Civil Engineering kwenye chuo chochote cha Serikali.


Lakini tatizo ni ada zao,siwezi kujilipia kabisa labda nusu yake,hapo pia nitahitajika kulipia malazi na chakula.

Miaka mingi nimejaribu kukusanya pesa lakini naishia njiani.

Sasa,napenda kuwauliza wanajukwaa wenzangu,kama nikienda wizarani ombi langu litapokelewa?

Nakosa amani kabisa.

Nitashukuru kwa ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom