Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Wakuu samahani kwa wale nitakaowakwaza

Nimekuwa kwenye ndoa miaka 5 sasa ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa.

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa, sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo.
Acha uongo bwana..wewe una tatizo la kumchoka mtu na kutafuta kisingizio cha aende zake uoe mwingine

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?

Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu

Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
hizi ni tabia za watu ambao wako so full of themselves (self satisfactory people) hili ni tatizo, kuna kipindi nilikua siamini mtu mwingine anifanyie kazi ya mikono (mfano nguo hata nikiajiri dada wa kazi siamini kama atatakasha nguo zangu) , ila pole pole nijigundua tatizo ni mimi ila niligundua hili baada ya kukaa na binti (mpenzi) mwaka mzima nyumbani kwangu (kwa baraka za kwao) - nilikua na mawazo ya nikimchoka itakuwaje, baadae nikazoea japo hatukufanikiwa kuwa pamoja baadae (kwasababu zingine) ila nilijifunza kutomchoka mtu! hahaha
 
Pole sana kaka naona watu wengi sana wana mkosoa huyu mleta uzi lakini nina shuhuda ya wanawake si chini ya watu walitumia dawa ili waolewe ubaya wa dawa huwa zinaisha nguvu na zikiisha nguvu mwanaume anaanza kurejewa na ufahamu wake. Baadhi ya wanawake wengine hutegesha mimba ili iwe ndo tiketi ya kuolewa. Pole sana kaka funga sali kwa imani Mungu atakujibu kwa wakati kama hili ndo lilikua chaguo lako au laah au nguvu za giza zimeingilia ndoa yako.
 
Tumia akili.

Nafikiri nyie ndiyo mtumie akili.... Matumizi ya condom ni kwaajili ya kujikinga na magonjwa ya Zinaa ikiwemo HIV na uzazi wa mpango.
Kutumia au kutokutumia haina uhusiano na kipimo cha mapenzi kati yenu.
Kwa akili hizi za kwamba huyu tunapendana sana hatutumii condom ndiyo inawafanya muambukizwe HIV na Gonno kizembe
 
Wakuu samahani kwa wale nitakaowakwaza

Nimekuwa kwenye ndoa miaka 5 sasa ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa.

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa, sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo.
Asee Unapitia kipindi kigumu ndg. Inaonekana hukua unampenda huyo manzi sincerely ila ulikurupuka tu na kufanya pupa ya kumweka ndani sababu ya Mtoto.

Ila siyo.... Do it for good reason, hata kama humpendi hujisikii kuwa nae we lazimisha tu for good reason kwamba unamtendea wema
Amini ya kwamba Wema wowote ule huwa unalipwa Chief iwe na yeye muhusika ama la lakini kuna siku utakuja shuhudia hicho mzee baba

Last ni kwamba kuna connection kubwa sana kati ya mapenzi kwa mke vs afya na ustawi mzuri wa mtoto. Amini ya kwamba kama unampenda huyo dogo basi mpende tu na mama yake ili dogo akuwe vizuri

All the best Jamaa
 
Wakuu samahani kwa wale nitakaowakwaza

Nimekuwa kwenye ndoa miaka 5 sasa ila simpendi mke wangu. Nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa.

Aisee napata tabu sana. Sasa hapa napata tabu sana. Wadau sielewi inakuwaje hapa, sasa sijui

Naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kikristo.

Mungu akusamehe bure....leo hii unamwona hakufai ivi kile kiapo umekisahau au ulilazimishwa kuoa au ulioa kuifurahisha jamii ?
 
Inakuwaga ivoivo.maana wanawake wengine ndoa wanalazimisha utakuta anaenda kwa waganga ili aolewe au anafunga na kuomba majuma kadhaa ili apate mme hata kwa kumlazimisha Mungu matoke yake ndo hayo
Na hili ndio tatizo wapo bahadhi ya watu huwa wanarazimisha sana mapz.
tena ving'an'ganizi. Na matokeo yake ndo huwa hayo ndoa inafungwa ila ndo haina amani hasa hasa wanawake umri uliokwenda kidogo au wale waliotoka familia za chini🙏,
 
Njoo kanisani uombewe. Mungu atakupa sababu yakumpenda shemeji.
Mungu ni mwema

Back
Top Bottom