Ushauri: Shughuli za kijamii zianze kurudi tatatibu kuanzia Mei 20 hadi Juni 15

Hivi hajui kuwa shule zote zinaenda sambamba.. Sasa kwanini ifunguliwe hii ile iachwe..?
 
imhotep,
Yaani hata kwenye Hii ishu ya Corona nayo unaingiza siasa?

Wakishajiuzulu then what? Ndo itaondoa Corona? Ni nchi gani Duniani Umeona imeifanya hivo unavotaka? Na kama wamefanya imeleta effectiveness gani? "Kujiuzulu" Kuna Punguzaje Corona?

Nyie ndo maana mda mwingine wale mboga mboga au Maccm yanawanyimaga freedom of speech. Mashudu tupu. Kwa akili hizi ndo unataka mshike nchi?
 
Hawa Ndio akili zao zilivyo Mkuu

Wanajua kushambulia na kutukana tu hawana Mawazo mbadala
imhotep,
Yaani hata kwenye Hii ishu ya Corona nayo unaingiza siasa?

Wakishajiuzulu then what? Ndo itaondoa Corona? Ni nchi gani Duniani Umeona imeifanya hivo unavotaka? Na kama wamefanya imeleta effectiveness gani? "Kujiuzulu" Kuna Punguzaje Corona?

Nyie ndo maana mda mwingine wale mboga mboga au Maccm yanawanyimaga freedom of speech. Mashudu tupu. Kwa akili hizi ndo unataka mshike nchi?
 
Hatuna budi kuendelea chukua hatua ila cha muhimu zaidi Shughuli za kijamii lazima zirejelee
 
Kwa kuwa Huu mlipuko wa ugonjwa wa corona haujulikani utaisha Lini ni muhimu sana kurudisha huduma za kijamii la sivyo Wananchi watakufa njaa
 
Back
Top Bottom