Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 67,905
- 162,075
Binafsi ninaiunga mkono serikali kwa oparesheni ya kukamata raia wa kigeni ambao hawana vibali vya kuishi nchini, kutokuwa na vibali vya kufanya kazi nchini au kufanya kazi ambazo zingefanywa na Watanzania.
Kitendo cha wageni kuishi nchini na kufanya kazi kina madhara yafuatayo;
-husababisha uhalifu hasa uporaji
-kuikosesha serikali mapato kwa kutokulipia vibali
-husababisha uhaba wa ajira nchini kwani wao huzishikilia.
USHAURI; nashauri serikali
Wabuni mtandao wa mawasiliano utakaowezesha wananchi kuwaripoti wahamiaji haramu, mahali walipo, kazi walizokuwa wakizifanya na kama wamebadilisha kwa kukwepa mkono wa dola wanafanya nini kwa sasa na kampuni gani na mahali walipo.
Ni imani yangu wakifanya hivyo watapata ushirikiano wa kutosha kwani wanapotembelea makampuni ni vigumu kupewa ushirikiano kwani wengi wetu wataogopa kufunguka kwa kulinda ajira zao.
Nakaribisha maoni ya wadau waongezee au kukosoa...ruksa