Ushauri: Serikali itengeneze mfumo utakaowezesha watu kumiliki kitambulisho kimoja tu!

neym8990a

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
244
196
Nimewaza kutoa ushaur kwa serikali yetu na sekta inayohusika na maswala ya vitambulisho kwamba kwanini kuwepo na vitambulisho vingi ambavyo pengine ingekua rahisi kwa watu kumiliki kitambulisho kimoja tu.
Kama ni kitambulisho cha NIDA basi kifanyiwe maboresho kiweze kusheheni kila kitu kinachotakikana kwa mtu kutambuliwa kama mkazi wa Tanzania. Isiwepo haja ya kuwa na vitambulisho vingi vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja. Kuna vitambulisho vingi sana inabidi kuwe na kitambulisho kimoja ambacho kitakua kinafanyiwa activation ya huduma tofauti.
Mfano kitakua activated kwenye huduma ya kupiga kura, ukirequest passport inakua activated ukihama location inakua activated.
 
Back
Top Bottom