Nimewaza kutoa ushaur kwa serikali yetu na sekta inayohusika na maswala ya vitambulisho kwamba kwanini kuwepo na vitambulisho vingi ambavyo pengine ingekua rahisi kwa watu kumiliki kitambulisho kimoja tu.
Kama ni kitambulisho cha NIDA basi kifanyiwe maboresho kiweze kusheheni kila kitu kinachotakikana kwa mtu kutambuliwa kama mkazi wa Tanzania. Isiwepo haja ya kuwa na vitambulisho vingi vingi.
Sent using Jamii Forums mobile app