Ushauri: Serikali ipeleke kikosi maalum Msumbiji kuokoa ndugu zetu | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Serikali ipeleke kikosi maalum Msumbiji kuokoa ndugu zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kididimo, Feb 18, 2017.

 1. K

  Kididimo JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 2,045
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  Kwa habari niliyoisikia DW radio jana,nashauri hilo lifanyike. Kuna wenzetu wengi watakosa uwezo wa kurudi ukizingatia wamenyanganywa kila kitu! Mtanzania aliyeongea na DW,kama aliyosema wanavyonyanyaswa ni ya kweli,uchunguzi na upelekaji kikosi cha uokozi vyema vifanyike
   
 2. K

  Kididimo JF-Expert Member

  #81
  Mar 20, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 2,045
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  Hawa wanapitia njia rasmi.
   
 3. J

  Josue1994 Member

  #82
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 16, 2017
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  TAFUTA MWENYEWE INFO...... KWANINI UONGEE KAMA ULIKUWA HUJUI KINACHOENDELEA.....? MI KAZI YANGU KUKUKOSOA UKISEMA PUMBA.....
   
 4. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #83
  Mar 21, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  Nenda shule kwanza nahisi umekuja kujifunza kutype JF. Komaa na shule dogo usipoteze muda wako hapa uje kupata bashite.. maana hujui hata unakosoa nini
   
 5. J

  Josue1994 Member

  #84
  Mar 21, 2017
  Joined: Mar 16, 2017
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  ITS ALWAYS LIKE THAT..... NDIVYO STYLE YENU YA KUKIMBIA MKISHINDWA..... WE UNALAUMU TU WATU HUJUI HATA KILICHOWASIBU MSUMBIJI...... PITIA HABARI NDIO UJE JF.....
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...