Ushauri: Serikali ipeleke kikosi maalum Msumbiji kuokoa ndugu zetu | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Serikali ipeleke kikosi maalum Msumbiji kuokoa ndugu zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kididimo, Feb 18, 2017.

 1. K

  Kididimo JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 2,001
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Kwa habari niliyoisikia DW radio jana,nashauri hilo lifanyike. Kuna wenzetu wengi watakosa uwezo wa kurudi ukizingatia wamenyanganywa kila kitu! Mtanzania aliyeongea na DW,kama aliyosema wanavyonyanyaswa ni ya kweli,uchunguzi na upelekaji kikosi cha uokozi vyema vifanyike
   
 2. Powder

  Powder JF-Expert Member

  #41
  Feb 18, 2017
  Joined: Jan 6, 2016
  Messages: 3,044
  Likes Received: 2,853
  Trophy Points: 280
  Sio kwa Tanzania.
   
 3. usser

  usser JF-Expert Member

  #42
  Feb 18, 2017
  Joined: Sep 25, 2015
  Messages: 9,858
  Likes Received: 8,117
  Trophy Points: 280
  Hiyo id yako uliitoa huko
  Huko kwny ubongo finyu
  Wako

  Lelewa tu hapo kwa mamaako
  Sku ukiamka ndo utajua
  Kuna kupanda mlima na mabonde

  Cjui kama utaweza kuuweka chin huo
  Umamaboyz
   
 4. usser

  usser JF-Expert Member

  #43
  Feb 18, 2017
  Joined: Sep 25, 2015
  Messages: 9,858
  Likes Received: 8,117
  Trophy Points: 280
  Dhaaa!! Kwa serikali hii yetu
  Haina hatq huruma
  Na,wananchi wake

  Mungu tu awasaidie
   
 5. K

  Kididimo JF-Expert Member

  #44
  Feb 18, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 2,001
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Tumpongeze.
   
 6. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #45
  Feb 18, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  Wakiwepo wawajibishe hamna namna ingine. Maana hakuna sheria inayoruhusu raia ukavunje sheria za nchi nyingine
   
 7. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #46
  Feb 18, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  Unataka nifate mawazo yako mgando.... yaani uvunje sheria ya nchi nyingine nije kukutetea... kwendraaa
   
 8. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #47
  Feb 18, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  warudi kama walivyoondokA,unataka tuwakodishie ndege.... embu muwe serious
   
 9. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #48
  Feb 18, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  Kama wewe ulivyo Kisenge..
   
 10. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #49
  Feb 18, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  Acha maneno mengi,wabongo tumezoea uongo mwingi sana.Haya yote ni maneno matupu embu tupe ushahidi
   
 11. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #50
  Feb 18, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  Jibu hoja dogo,hayo yote ni maneno hayaendani na mada.. Acha mihemko wewe
   
 12. K

  Kididimo JF-Expert Member

  #51
  Feb 18, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 2,001
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Suala kubwa siyo kulipiza kisasi! Ni namna unavyomhandle astray foreigner.
  Kwa ujumla nimeona ITV news ya saa 2,Afisa Tawala Mkoa wa Mtwara kaonyesha uzalendo niliohisi ulitakiwa kuigwa na viongozi wengine! Pia magari ya Jeshi letu na Uongozi wa JWTZ,wamefanya vizuri kuwarudisha ndugu zetu makwao. Nilitamani magari haya yaingie hadi Msumbiji kuokoteza ndugu waliokwama huko kama wapo. Nilikaribia kutokwa machozi ya upendo kwa maneno na maelekezo ya Katibu Tawala wa Mtwara kwa wahanga wetu! Mungu ambariki sana!
   
 13. V

  Venance Asanwisye Member

  #52
  Feb 18, 2017
  Joined: Jan 29, 2017
  Messages: 62
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 25
  Msumbiji tulioisaidia kujikomboa leo wanatufanyia haya! Tunatakiwa kwenda kuwatetea watu wetu haraka iwezekanavyo. Msumbiji sio jirani mwema tena.
   
 14. chabuso

  chabuso JF-Expert Member

  #53
  Feb 19, 2017
  Joined: Feb 18, 2013
  Messages: 3,091
  Likes Received: 1,759
  Trophy Points: 280
  Kaka nimependa mawazo yako kwani mawazo yako ni mawazo ni ya watanzania wengi,mawazo kama haya ndio utaona tafauti ya wenzetu wenye akili na hapo utafahamu kwanini wanatuita nchi zetu ni nchi za duania ya tatu,kwani ni kweli tuko nyuma kama miaka 500 ki akili na kimawazo

  Nitakupa mikasa miwili,mkasa mmoja ni wa mtanzania aliechukua uraia wa Norweg,lakini yule jamaa alivuka Norway na kuingia Denamark bila ya kibali chochote,kufika denmark yuke jamaa akaanza kuvuta unga,askari wakamkamata yule jamaa na unga,wakamuweka ndani, ubalozi wa Norway ukajuilisha cha kushangaza siku ya pili yake tu balozi akamtembelea jamaa akampelekea passport ya muda na akaondoka nae Norway

  Mkasa wa pili ni mtanzania aliechukua uraia wa Marekani yeye alikamatwa Thailand na Unga,cha kushangaza serikali ya kimarekani ilifanya juu chini yule jamaa akatumikie kifungo chake Marekani, wamarekani waliondokana na jamaa wakenda nae USA

  Hiyo mikasa miwili ni kuonyesha tu vipi serikali za dunia ya kwanza zinavyowalinda watu wake,hao watu wawili waliporudi katika hizo nchi hawakukaa zaidi ya miezi miwili jela

  Maneno yako uliyoandika na manenoya raisi wetu aliyongea juzi kuhusu watu waliokamtwa na unga nchi za nje yanafanana,ni maneno ya watu wanaoishi dunia ya tatu,bado hatujui nini tunafanya,nini tufanye na kwanini tufanye au tusifanye,,,

  Nitapenda kukwambia hivi hao watanzania walioko huko msumbiji kama wamekwenda kisheria au si kisheria,kama wamekwenda na passport au bila ya passport kama ni watanzania basi hao watu bado watabakia kama watanzania,ni jukumu la serikali ya Tanzania kuwasaidia..
   
 15. K

  Kididimo JF-Expert Member

  #54
  Feb 19, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 2,001
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Kulingana na RFA media leo asubhi, leo ni siku ya mwisho ndugu zetu wawe wameondoka ktk ardhi ya Msumbiji! Taarifa imeeleza,bado kuna Watz 3000 plus bado wamekwama Msumbiji. Jana ITV ilionyesha na kuripoti ni Watz takriban 160 tu wamevuka na kupokelewa Mtwara. Kwa taarifa hizi mbili,inaonyesha bado ni wengi wamekwama huku muda wa mwisho kuondoka ukiisha! Bado ninaona kuna haja ya kuokoa hawa ndugu zetu, otherwise tuendelee kumwomba Mungu awanusuru na janga lolote!
  Sina maana,tupeleke jeshi! Ni vyema tuwapelekee usafiri hukohuko chini ya kikosi kazi maalumu!
   
 16. Raphael wa Ureno

  Raphael wa Ureno JF-Expert Member

  #55
  Feb 19, 2017
  Joined: Jul 12, 2016
  Messages: 6,359
  Likes Received: 10,353
  Trophy Points: 280
  Ukiwa na hoja za kizimbe kama hii ya kwako basi siku zako pia zitakuwa za kusitasita.

  Hivi hapa duniani unaweza kuniambia nchi hata moja ambayo haina wahamiaji haramu? Na kama kweli wapo kwenye nchi za watu bila vibali maalumu ni sheria gani inaruhusu wanyanyaswe na kunyang'anywa mali zao?

  Unapotoa hoja hapa usiangalie maisha yako kuwa kabatini kwako kuna mkate na sukari kuna watu wapo hapa duniani wanajaribu kusaka maisha hata kwa kuzamia nchi za watu wewe unaona kuwa ni sahihi wafanywe hivyo wanavyofanywa !!!

  Usiandike vitu kwa hisia za kimapenzi fikiria sana kabla hujapakuwa utumbo huo uliopika ,hakuna nchi duniani haina wahamiaji haramu hata nchi zote zenye machafuko bado tu zina wahamiaji haramu na ukisikia Trump anataka kujenga ukuta kati ya Mexico na USA basi anataka kudhibithi wahamiaji kwani kwa nguvu ya taifa kama lile bado wanahangaika na wahamiaji haramu sembuse vinchi vinavyovaa bukta.

  Usione kabatini kuwa kuna mkate ukahisi kila mtu ana kabati kwake.
   
 17. ZIRO

  ZIRO JF-Expert Member

  #56
  Feb 19, 2017
  Joined: Nov 10, 2014
  Messages: 910
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 180
  Kwann wewe usiuze bangi au madawa ya kulevya kama? maana na wewe unatafta rizki. Jitambue kwenye kuvunja sheria hatujalishi ulikua unatafta rizk au nn.. bali uwepo kihalali.
   
 18. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #57
  Feb 19, 2017
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 6,484
  Likes Received: 7,774
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2013 wakati Dr. Riek Machar kakinukisha kule South Sudan, Nchi nyingi (ikiwepo Kenya) zilipeleka ndege au waliorganise na companies ama KQ kuevacuate watu. Rais wa Eritrea yeye aligoma kufanya hivyo kwa raia wake maana ati hakujua hao walipo huko waliendajeendaje na huenda wakawa wapinzani wake.

  Kuna ndugu yetu mmoja juzi kati alisema wanaokamatwa nje ya nchi wanyongwe tu. Japo alikuwa anaongelea issue tofauti, hope atakuwa na huruma this time around maana waTZ wanateseka kule na wengi wamebakwa na kulawitiwa bila huruma.
   
 19. Zuwenna

  Zuwenna JF-Expert Member

  #58
  Feb 19, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 1,382
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  MK254
   
 20. donaldson don

  donaldson don JF-Expert Member

  #59
  Feb 19, 2017
  Joined: Oct 28, 2016
  Messages: 634
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 80
  Serikali haijabeba watu na kuwapeleka Msumbiji... Nadhani hilo ndo utapewa jibu la haraka hiyo hoja ukiipeleka sehemu Husika...
   
 21. Mkazamoyo

  Mkazamoyo JF-Expert Member

  #60
  Feb 19, 2017
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 282
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 80
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...