USHAURI: Serikali ifute kidato cha 5&6 watoto waende vyuo wakimaliza kidato cha 4

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Kusema ukweli form.5 &6 ni kupoteza muda. Ili kujenga kizazi chenye ujuzi ni bora serikali ikawekeza zaidi kwenye vyuo vya kati vinavyo toa certificate na diploma katika fani mbalimbali.

Mtoto anamaliza form 6 hana ujuzi wowote wakati alitakiwa kuajiliwa kama technician kwenye viwanda na mashirika mbalimbali.

Kazi nyingi zinazo fanywa na wenye degree ni ndogo sana sehemu nyingi.

Mtu anajiita engineer lakini kazi yake ni kutengeneza coomputer kazi ambayo ingefanywa na mtu mwenye certificate.

Badala ya kupeleka Clinical officer kwenye zahanati mnapeleka doctor aliye soma miaka 6.. haya ni matimizi mabaya ya elimu.

Hili litasaidia pia kupata wafanyakazi wenye weledi na ndio sababu nyerere alianzisha advanced diploma ili kupata watu wasio na majivuno.

Nchi hii imejengwa na wenye diploma na full technician.

Wenye degree wanatakiwa kuwa wachache na degree iwe ngumu kuipata ili hao wachache wafanye na research makubwa makubwa huko na sio kufanya kazi za watu wenye certificate.

Faida

1. Serikali itapunguza vijana wasio na ajira kwa sababu vijana wengi watakua na ujuzi.

2. Serikali itapunguza matumizi ya fedha kwa sababu watendaji wengi watalipwa fedha kidogo ukilingajisha na wenye degree.

3. Nchi itapata cheap labor kwa ajili ya viwanda, leo wenye viwanda wanapata shida kwa sababu vijana wengi wana elimu ambayo sio ya level ya viwandani. Imagine ku aasemble simu- hii ni kazi ya technician mwemye elimu ya cheti na sio mwemye degree.

Na pia kuwe na connection kati ya veta na vyuo vya kati ambavyo vipo chini ya nacte hata kama inachukua muda lakini darasa la saba aliye pita veta awe na uwezo wa kupata hadi diploma.

Siku nyingine nitaleta uzi kwa nini nacte inatakiwa kufutwa na kuundwa upya.

Vyuo vya kati ndio msingi wa maendeleo..
 
Kenya walifuta hii form six wana form four tu na wako vizuri kimtazamo na kiitikadi , vijana wa form 4 wanajiamini na wanaongea lugha ya kimataifa kama maji, achana na kiswahili , hata wakenya wanachokishwahili lakini cha ziada wanatuzid kiingereza
 
Idadi ya Wapumbavu ( Fools ) itaongezeka ' maradufu ' kuliko iliyopo ambayo tunahangaika nayo Kuipunguza lakini bado ' inatutesa ' tu kama nchi na Taifa.
 
Kweli kabisa, kama ni kingereza waboreshe kwenye elimu ya msingi, na sekondari.. watoto waive vizuri. Baada ya form IV watoto wakasomee elimu kwa vitendo ya ujuzi.

Mitaala tuu ya ufundi iwekwe sawa ila kuwapa ujuzi mpana vijana.
Kenya walifuta hii form six wana form four tu na wako vizuri kimtazamo na kiitikadi , vijana wa form 4 wanajiamini na wanaongea lugha ya kimataifa kama maji, achana na kiswahili , hata wakenya wanachokishwahili lakini cha ziada wanatuzid kiingereza
 
Kabisa.. hawa wanapaswa kwenda kufanya reseeach huko na sio kupanda minara ya simu kazi za watu wa diploma na certificate.
Mkuu una point pia sijui iyo parabola ameitumia wapi. Binafsi nimepita advance kwa kuifaulu Ila Kama wazo lako Lina mantiki. Uchina mwenye degree za veta anathaminika kuliko Hawa wa theory ama academician
 
Wazo zuri ingawa tutakuwa tunapiga hatua kumi halafu tunarudi moja na kujipongeza

Usitegemee tawire ikutoe ktk fani
 
Upumbavu nini.. ? Tatizo lako unadhani upumbavu ni vyeti.

Kuna wenye degree wangapi bado wapumbavu? Ndio maana msukuma na mbunge wa kahama na darasa la saba lao huwa wana waona wasomi ni wapumbavu kwa sababu hawana jipya zaidi ya vyeti walivyo wanavyo.

Vijana wakiwa na ujuzi na kufundishwa taratibu za kazi mapema tutapata taifa la wachapa kazi na wabunifu.
Idadi ya Wapumbavu ( Fools ) itaongezeka ' maradufu ' kuliko iliyopo ambayo tunahangaika nayo Kuipunguza lakini bado ' inatutesa ' tu kama nchi na Taifa.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom