USHAURI: Serikali ifute kidato cha 5&6 watoto waende vyuo wakimaliza kidato cha 4

Kusema ukweli form.5 &6 ni kupoteza muda. Ili kujenga kizazi chenye ujuzi ni bora serikali ikawekeza zaidi kwenye vyuo vya kati vinavyo toa certificate na diploma katika fani mbalimbali.

Mtoto anamaliza form 6 hana ujuzi wowote wakati alitakiwa kuajiliwa kama technician kwenye viwanda na mashirika mbalimbali.

Kazi nyingi zinazo fanywa na wenye degree ni ndogo sana sehemu nyingi.

Mtu anajiita engineer lakini kazi yake ni kutengeneza coomputer kazi ambayo ingefanywa na mtu mwenye certificate.

Badala ya kupeleka Clinical officer kwenye zahanati mnapeleka doctor aliye soma miaka 6.. haya ni matimizi mabaya ya elimu.

Hili litasaidia pia kupata wafanyakazi wenye weledi na ndio sababu nyerere alianzisha advanced diploma ili kupata watu wasio na majivuno.

Nchi hii imejengwa na wenye diploma na full technician.

Wenye degree wanatakiwa kuwa wachache na degree iwe ngumu kuipata ili hao wachache wafanye na research makubwa makubwa huko na sio kufanya kazi za watu wenye certificate.

Faida

1. Serikali itapunguza vijana wasio na ajira kwa sababu vijana wengi watakua na ujuzi.

2. Serikali itapunguza matumizi ya fedha kwa sababu watendaji wengi watalipwa fedha kidogo ukilingajisha na wenye degree.

3. Nchi itapata cheap labor kwa ajili ya viwanda, leo wenye viwanda wanapata shida kwa sababu vijana wengi wana elimu ambayo sio ya level ya viwandani. Imagine ku aasemble simu- hii ni kazi ya technician mwemye elimu ya cheti na sio mwemye degree.

Na pia kuwe na connection kati ya veta na vyuo vya kati ambavyo vipo chini ya nacte hata kama inachukua muda lakini darasa la saba aliye pita veta awe na uwezo wa kupata hadi diploma.

Siku nyingine nitaleta uzi kwa nini nacte inatakiwa kufutwa na kuundwa upya.

Vyuo vya kati ndio msingi wa maendeleo..
Umeongea vizur
 
Sapoti! Sapoti! Nchi nyingi duniani - Kenya, India, Israel, UK, US, Argentina, Bhutan, Qatar- huishia Form 4, baada ya hapo huenda Chuo Kikuu. Wao huita K12 system. Form 6 mzuri wa Tanzania akienda kusoma Engineering USA au Uhasibu UK, mwaka wa kwanza huwa ni sawa na marudio ya PCM aliyosoma Usagara au ECA ya Tambaza.

Wakati mwingine tabutupu huwa zina hoja ya msingi.
 
Kabisa.. elimu ya sasa niya kikoloni.. nchi nyingi ukienda wanafunzi wa chuo wana miaka kati ya 16 hadi 20.. sisi unakuta unazaa chuo kati ya miaka 20 hadi 25 miaka ambayo kichwa kinakua kina waza kuoa na kuolewa badala ya ubunifu.

Veta ni kwa darasa la 7 lakini badala ya kusoma form 5 na 6 wanafunzi waende kusoma diploma kisha wakachukue degree na kwa kuwa wanaujuzi basi degree utakua option.

Leo watoto wengi wanaenda kuchukua degree kwa sababu form 6 hana ujuzi wowote wa kumpa ajira kitaa.
Vyuo vya vyeta viwe vingi
 
Diploma haina maana kwa anayeisoma
 
Mie ni civil Engineer Ila ukiniambia nichanganye zege la kupata grade 30 hapa nilipo sijui labda nigugo kwanza.
Yaani nimemeza theory nijibu mtihani nifaulu makunza nyaoro shirima rubarutuka funga kazi.na Nina miaka kadhaa mtaani nakaribia kufunga kumi from graduu

Hata mimi ni injinia, na nna amini bila theory huwezi kuwa vizuri kwenye practical. Injinia lazima ujue theory tena kwa undani ndio uchukue theory uchanganye na prac!

So degree ni lazima ili uwe injinia bora.
 
Naunga mkono hoja,

Binafsi Sijasoma form 5&6, Nilitoka zangu o-level direct nikachukua FTC.

Ilinisaidia kuajiliwa mapema, na sasa nimejiajili na nmeajili wengine.

Vyuo vya kati ni muhimu sana nchini kwetu, nashangaa tunachelewa wapi.

Wenzetu kenya apo, thailand, singapore,china na hongkong walishatoka huko kwenye 5&6.
Wameinvest sana kwenye technical colleges.

Binafs
Sitapeleka kabisa mwanangu form 5,

Yupo mmoja mkubwa wa ndugu nakaa nae,
mwakani anamaliza form 4 naona anakichwa kizuri cha hesabu na ana interest ya biashara.

Ntamftia chuo kizuri akaanze na Certificate ya Bussines administration, afu mengine yatajiseti mbele ya safari.

Atakuja kunifaa sana kwenye mchaka mchaka wa ujasiliamali wangu.
 
Tatizo la watanzania tunakariri sana.. mtu ana komaa na degree yake , akimaliza na kukosa kazi anaanza network marketing..

Siungesoma tui certificate au diploma ukawa ecposed mapema kwemye dunia ya kazi na biashara?
Naunga mkono hoja,

Binafsi Sijasoma form 5&6, Nilitoka zangu o-level direct nikachukua FTC.

Ilinisaidia kuajiliwa mapema, na sasa nimejiajili na nmeajili wengine.

Vyuo vya kati ni muhimu sana nchini kwetu, nashangaa tunachelewa wapi.

Wenzetu kenya apo, thailand, singapore,china na hongkong walishatoka huko kwenye 5&6.
Wameinvest sana kwenye technical colleges.

Binafs
Sitapeleka kabisa mwanangu form 5,

Yupo mmoja mkubwa wa ndugu nakaa nae,
mwakani anamaliza form 4 naona anakichwa kizuri cha hesabu na ana interest ya biashara.

Ntamftia chuo kizuri akaanze na Certificate ya Bussines administration, afu mengine yatajiseti mbele ya safari.

Atakuja kunifaa sana kwenye mchaka mchaka wa ujasiliamali wangu.
 
Kabisa.. elimu ya sasa niya kikoloni.. nchi nyingi ukienda wanafunzi wa chuo wana miaka kati ya 16 hadi 20.. sisi unakuta unazaa chuo kati ya miaka 20 hadi 25 miaka ambayo kichwa kinakua kina waza kuoa na kuolewa badala ya ubunifu.
Mkuu mie nipo chuo nilitaka kuhairisha nikaoe. Mana muda ukifika umefika ni wenyewe unakuambia fanya ivi
 
Kusema ukweli form.5 &6 ni kupoteza muda. Ili kujenga kizazi chenye ujuzi ni bora serikali ikawekeza zaidi kwenye vyuo vya kati vinavyo toa certificate na diploma katika fani mbalimbali.

Mtoto anamaliza form 6 hana ujuzi wowote wakati alitakiwa kuajiliwa kama technician kwenye viwanda na mashirika mbalimbali.

Kazi nyingi zinazo fanywa na wenye degree ni ndogo sana sehemu nyingi.

Mtu anajiita engineer lakini kazi yake ni kutengeneza coomputer kazi ambayo ingefanywa na mtu mwenye certificate.

Badala ya kupeleka Clinical officer kwenye zahanati mnapeleka doctor aliye soma miaka 6.. haya ni matimizi mabaya ya elimu.

Hili litasaidia pia kupata wafanyakazi wenye weledi na ndio sababu nyerere alianzisha advanced diploma ili kupata watu wasio na majivuno.

Nchi hii imejengwa na wenye diploma na full technician.

Wenye degree wanatakiwa kuwa wachache na degree iwe ngumu kuipata ili hao wachache wafanye na research makubwa makubwa huko na sio kufanya kazi za watu wenye certificate.

Faida

1. Serikali itapunguza vijana wasio na ajira kwa sababu vijana wengi watakua na ujuzi.

2. Serikali itapunguza matumizi ya fedha kwa sababu watendaji wengi watalipwa fedha kidogo ukilingajisha na wenye degree.

3. Nchi itapata cheap labor kwa ajili ya viwanda, leo wenye viwanda wanapata shida kwa sababu vijana wengi wana elimu ambayo sio ya level ya viwandani. Imagine ku aasemble simu- hii ni kazi ya technician mwemye elimu ya cheti na sio mwemye degree.

Na pia kuwe na connection kati ya veta na vyuo vya kati ambavyo vipo chini ya nacte hata kama inachukua muda lakini darasa la saba aliye pita veta awe na uwezo wa kupata hadi diploma.

Siku nyingine nitaleta uzi kwa nini nacte inatakiwa kufutwa na kuundwa upya.

Vyuo vya kati ndio msingi wa maendeleo..
Nilisoma chuo na wanafunzi kutoka Malawi ambao wao wanasoma hadi Form IV na Forms V & VI ni kwa special students, lakini wao (waliosoma hadi Form IV tu) waliambiwa warudie kozi fulani fulani ili wawe sawa na wanafunzi waliosoma hadi Form VI kama ilivyokuwa kwa nchi hiyo niliyosoma. Huwa kwa baadhi ya vyuo vina'mind' kuona kwamba wanafunzi fulani wameishia Form IV na wengine Form VI (tofauti ya miaka 2) halafu uwake wote kuwa na elimu inayofanana. Kusoma masomo kwa miaka 2 zaidi kuliko mwanafunzi mwingine si kitu kidogo kielimu. Tukiichezea elimu yetu kama ilivyofanyika miaka fulani ya hapo nyuma - kama kuondoa michezo shuleni, manual work na baadhi ya masomo na pia "kupanua goli" ili wanafunzi wafaulu zaidi - kutatu'cost'.
 
Kenya walifuta hii form six wana form four tu na wako vizuri kimtazamo na kiitikadi , vijana wa form 4 wanajiamini na wanaongea lugha ya kimataifa kama maji, achana na kiswahili , hata wakenya wanachokishwahili lakini cha ziada wanatuzid kiingereza
Kumbuka Kenya wanasoma miaka 8 elimu ya msingi.
 
Naunga mkono hoja , pia serikali yetu ya #kaziiendelee ingetoa motivation ya mkopo kwa wanafunzi wa diploma na certificate, kwasababu asilimia kubwa wanaokwenda Chuo kikuu kwa ngazi ya degree wanafuata mkopo kuliko ndoto zao za baadae na faida ya nchi kwa ujumla juu ya usomi au ujuzi wao.
 
Mimi naona mapinduzi, yaanze na sisi wenyewe, ukisubiria serikali ikufanyie, ni sawa sawa kusubiri boat Airport.

Nini namaanisha, mwanao akimaliza form 4, mpeleke chuo moja kwa moja.,
Mm ninao wawili wanamaliza mwakanhuu ni mwendo wa chuo tu hapa naumiza akili huo gani nadhani nitawapeleka kenya
 
Pendekeza zile contents za Form five na six zisomwe wapi basi.. Maana zina umuhimu pia. Sana tu.
 
Back
Top Bottom