USHAURI: Serikali ifute kidato cha 5&6 watoto waende vyuo wakimaliza kidato cha 4

Warren buffet anadai having normal intelligence inatosha katika investment huku sio kuwa ni sehemu ya mwenye akii ya IQ 190 Ana beat mwenye 150IQ.
Kuna vitu muhimu Sana kwenye maisha hatufundishwi shuleni tena vingi Sana.
Ndo Mana nchi Kama Russia kijana anasoma madarasa 11 afu anazama chuoni.yanai unakuta kijana wa 21/22 tayari ni holder wa Med Doctor ambayo huku watu wanazeeka wanaochukua wakiwa 25-34 mkuu.
Muda wa kuishi uko wapi
 
Mie saivi Kuna muda sioni umuhimu wa kusoma,binafsi Niko std6 bro ananifukuza kuwa niende shule Mana yeye hajasoma kutokana na mazingira ingawa alipenda shule .
Mie namwambia tufanye biashara.shuleni nimetumia nguvu nyingi sana afu Niko bila bila
 
Tatizo degree zinatolewa kama njugu, graduate hawana uwezo wa kusolve matatizo ambayo ndio fursa kwao wanasubiri kuajiriwa hata kuajiriqa kwenyewe hawaqualify.

Pili kidato cha 5 na 6 elimu yake haina msaada sana kwa Mtanzania.. mtoto anamaliza form 6 ana miaka 22 hana ujuzi wowote wa kufanyia kazi.. kama alisoma PCB hana hata cha kufanya labda afundishe tuition. Lakini imagine mwanafunzi ambaye baada ya form 4 alienda kusoma Clinical Medicine miaka 3, huyu akimaliza kwanza ana ujuzi ni yeye kuamua aende chuo au aende kazini.
Mkuu kwa elimu ipi unayotaka kuisema tuanze na kubadili mitaala ya chini kwanza.

Ukijenga msingi mzuri huku mbele inakuwa vyema ila si tunaanza kukuruka na juu pekee.
 
Kinachofanyika shuleni ninaambiwa Mana ya physics afu natakiwa nikariri nikiulizwa nijibu vile vile ilivyo mkuu.
Ujue uchina watt wanatumia kalkuketa tokea primary. Ni kwa Nini unipime kwa kukariri table na huku ni kitu ambacho kinapatikana ukikataka.
Kuna mchina mmoja aliniona kilaza sijui kazi ananitania lakini Sasa tukawa tunabishania kuhusu kalkuketa orijino. Sasa nikamwambia huku tunatumia Levo gani ya elimu. Akaanza kuniuliza maswali Kama haya unafanyeje.
Yaani Ile kuuliza viswali vya kuzidisha namjibu akakubali kuwa Niko fiti. Ila ufiti ambao sio productive
Kuna vijana wanameza cosine sine tan za special angles mpaka periodic table sijui wanaipeleka wapi.
Tunatesana na tunafanya kazi ambayo haina mana
 
Wasomi wa Afrika hawana namna ya kuwa innovative wawe matajiri mpaka waibe ,ukicheki Ile top layer ya matajiri wa dunia engineers wapo wa kutosha akina Jeff Benzos Elon musk Bill gate na wengine watafute.ila bongo kukariri agu unayatapika ndipo inaonekana kuwa una kipaji sijui una akili
 
Ndo Mana waafrika wakienda nje kusoma wakikariri wakimeza wanawakimbiza wazungu basi wanajionaa vichwa kuwa wanawazidi na huku kwenye innovations ambayo mzungu anahitaji na productions mwafrika chalii anabakia kujivunia tu mavyeti kabatini kuwa nimekimbizwa wazungu.cheki mie ni best student
 
Yaani mfano mie naona Kama kijana anapenda ufundi wa magari asome kidogo topics za physics maths na kemia ambazo zitamsaidia huku akipitia elimu ya veta ndo Ile technical schools afu aje diploma huku practical Sana kuliko theory . Alienda chuo anachagua topic zile ambazo ziko related tu na magari agonge hata miaka miwili arudi kuendeleza gereji yake
 
Mkuu kuna ukweli sana.. imagine ingepiga diploma miaka 3 baada ya form IV.. ukafanya kazi kama technician let say kwa miaka 3.. baadae ukarudi chuo kumalizia dwgree yako nadhani kwanza degree yako ungeisoma vizuri kwa kuelewa kwa sababu umetola field pia baada ya degree ungekua engineer mmoja mkali sana.
Mie ni civil Engineer Ila ukiniambia nichanganye zege la kupata grade 30 hapa nilipo sijui labda nigugo kwanza.
Yaani nimemeza theory nijibu mtihani nifaulu makunza nyaoro shirima rubarutuka funga kazi.na Nina miaka kadhaa mtaani nakaribia kufunga kumi from graduu
 
Mfano mie ni civil Engineer
Nimetumia tu topics ya physics ya mechanics tu.
Na uzuri nilikuwa sisomagi topics zote kuonekana kuwa mie kichwa.
Tokea olevo sijasoma electronics sijaitumia popote na swali lake sikulijibu Wala Nini.
Mana nilikuwa namwambia mtu kuwa kwani kusoma zote ndo kujibu zote
Na ninashukuru mechanics Niko fiti Sana tokea olevo mpaka advance so Sina shida.
 
Yaani bana Afrika iache tu. Ni kwa Nini balcks America wameshajua baba za mababu zao walitoka afrika Ila hawarudi.
Binafsi kwenda kusoma nje ilikuwa nipotee kabisa huko.
Na hapa nilipo nikipata Dola 1M nanunua apartment nje nahama Africa sio kabisa.
Watu wanakomoana
 
Pjm aliumiza wafanyabiashara wengi sana.alichukua Kama 20bn za huyu ghitana wa mwanza.mzee akapata stroke.
Yaani bana Afrika sio kabisa.ishu kubwa ni sijui ni umasikini
Nina uhakika siwezi kuzeeekea africa.ninahitaji kizazi changu nikihamishie majuu kabisa.cheki binti wa salimu saivi manager wb Cambodia anavuta takribani 250k USD kwa mwaka. Afrika siasa ndo inayolipa na Ina nguvu Sana Ila nje professionalism inafanya kazi.
Huku diwani STD 7 ama mbunge fomu foo fudi anatest tofali kwa kulipigiza chini na hapo anatest compressive strength.mara aingilie madaktari
 
Kuna muda nilifundisha shule moja ivi advance physics Tena natumia up wakenya walikuwepo ,walikuwa wanaiogopa advance physics wanadai Mambo mengine yapelekwe chuoni. So wao walikuwa wakifundisha olevo tu.
Yaani wanadai olevo ni sawa Ila advance ni nyoko sio kabisa.
Muda huo nakata pindi na sijawahi fundisha tokea Nina miaka 8 since nimehitimu six Ila nilikata pindi watt wakatoa maoni kuwa Kama anaijua physics.
Uzuri nilikuta wapo kwa mechanics na sumaku kwa six Mana sumaku na umeme zote hizo ni force tu kwa wale waliosoma physics so unabadili tu source ya force mamabo yanaenda
 
Mkuu kuna ukweli sana.. imagine ingepiga diploma miaka 3 baada ya form IV.. ukafanya kazi kama technician let say kwa miaka 3.. baadae ukarudi chuo kumalizia dwgree yako nadhani kwanza degree yako ungeisoma vizuri kwa kuelewa kwa sababu umetola field pia baada ya degree ungekua engineer mmoja mkali sana.
Sure na unatakiwa kuwa selective Kama nimebase kwenye udongo tu i.e naenda kukomaa na material Tena labda ya roads ama building na sio Niko material ya road unaniletea nisome steel structure mie nitaitumia wapi jamani ivi. Maana siendi kutafuta sifa kuwa mie ni mtabe
 
Specialization ni nzuri kuliko multitasking.
Multitasking unamaliza with little efficient quality kuliko Ile umespecify
 
Akilli ikichoka ndugu yangu pumzika sio ujipumzishe huku kwenye jukwaa ambalo lazima utumie akili kuanzisha UZI
 
Back
Top Bottom