USHAURI: Serikali ifute kidato cha 5&6 watoto waende vyuo wakimaliza kidato cha 4

Upumbavu nini.. ? Tatizo lako unadhani upumbavu ni vyeti.

Kuna wenye degree wangapi bado wapumbavu? Ndio maana msukuma na mbunge wa kahama na darasa la saba lao huwa wana waona wasomi ni wapumbavu kwa sababu hawana jipya zaidi ya vyeti walivyo wanavyo.

Vijana wakiwa na ujuzi na kufundishwa taratibu za kazi mapema tutapata taifa la wachapa kazi na wabunifu.
Umemaliza ili nikupe Bomba la TKO au?
 
Hayo ni matatizo ya kisiasa
Me nilitegemea ungesema inabidi liongezwe darasa lingine la form seven ilu Elimu yetu ikue zaidi
Hauoni kwa mawazo yako tutarudi nyuma sana na kupelekea kuwa na wapumbavu wengi
 
Kusema ukweli form.5 &6 ni kupoteza muda. Ili kujenga kizazi chenye ujuzi ni bora serikali ikawekeza zaidi kwenye vyuo vya kati vinavyo toa certificate na diploma katika fani mbalimbali.

Mtoto anamaliza form 6 hana ujuzi wowote wakati alitakiwa kuajiliwa kama technician kwenye viwanda na mashirika mbalimbali.

Kazi nyingi zinazo fanywa na wenye degree ni ndogo sana sehemu nyingi.

Mtu anajiita engineer lakini kazi yake ni kutengeneza coomputer kazi ambayo ingefanywa na mtu mwenye certificate.

Badala ya kupeleka Clinical officer kwenye zahanati mnapeleka doctor aliye soma miaka 6.. haya ni matimizi mabaya ya elimu.

Hili litasaidia pia kupata wafanyakazi wenye weledi na ndio sababu nyerere alianzisha advanced diploma ili kupata watu wasio na majivuno.

Nchi hii imejengwa na wenye diploma na full technician.

Wenye degree wanatakiwa kuwa wachache na degree iwe ngumu kuipata ili hao wachache wafanye na research makubwa makubwa huko na sio kufanya kazi za watu wenye certificate.



Faida

1. Serikali itapunguza vijana wasio na ajira kwa sababu vijana wengi watakua na ujuzi.

2. Serikali itapunguza matumizi ya fedha kwa sababu watendaji wengi watalipwa fedha kidogo ukilingajisha na wenye degree.

3. Nchi itapata cheap labor kwa ajili ya viwanda, leo wenye viwanda wanapata shida kwa sababu vijana wengi wana elimu ambayo sio ya level ya viwandani. Imagine ku aasemble simu- hii ni kazi ya technician mwemye elimu ya cheti na sio mwemye degree.


Na pia kuwe na connection kati ya veta na vyuo vya kati ambavyo vipo chini ya nacte hata kama inachukua muda lakini darasa la saba aliye pita veta awe na uwezo wa kupata hadi diploma.

Siku nyingine nitaleta uzi kwa nini nacte inatakiwa kufutwa na kuundwa upya.

Vyuo vya kati ndio msingi wa maendeleo..
💯 Naunga mkono hoja
 
Upumbavu nini.. ? Tatizo lako unadhani upumbavu ni vyeti.

Kuna wenye degree wangapi bado wapumbavu? Ndio maana msukuma na mbunge wa kahama na darasa la saba lao huwa wana waona wasomi ni wapumbavu kwa sababu hawana jipya zaidi ya vyeti walivyo wanavyo.

Vijana wakiwa na ujuzi na kufundishwa taratibu za kazi mapema tutapata taifa la wachapa kazi na wabunifu.
Ishu Iko Ivi Intelligence na education ni vitu viwili tofauti.
Pia elewa kuwa formal education can give you a living but self education gives you fortune.
 
Upumbavu nini.. ? Tatizo lako unadhani upumbavu ni vyeti.

Kuna wenye degree wangapi bado wapumbavu? Ndio maana msukuma na mbunge wa kahama na darasa la saba lao huwa wana waona wasomi ni wapumbavu kwa sababu hawana jipya zaidi ya vyeti walivyo wanavyo.

Vijana wakiwa na ujuzi na kufundishwa taratibu za kazi mapema tutapata taifa la wachapa kazi na wabunifu.
Elon Musk Motivation: “Don’t confuse schooling with education. I didn’t go to Harvard but the people that work for me did.” – did you know what Elon Musk means with this quote? And how to lead great people? How do you want to be lead?

Don’t confuse schooling with education

First part “Don’t confuse schooling with education” – many think he means that just going to school and getting good grades is not enough to master life. Teaching students to become good 8 to 5 obedient employees – some say that is the main reason of the current schooling systems – will not make them successful entrepreneurs.
I agree and my opinion: School should promote individual, critical thinking and true ownership, passion and leadership. A good education shows also in good behavior and treating people nice and appreciative. Learn from successful people how and why the made it.

I didn’t go to Harvard but the people that work for me did

Second part “I didn’t go to Harvard but the people that work for me did.” Some people interpret this as an arrogant statement. Maybe it’s just a fact. How I read it: It is very important to find the best people for true leaders. You don’t have to know everything yourself but you have to know your circle of competence. And find the knowledge your missing. And use all skills to their best.

How to lead successful people?

Now, once people are independent minds, self motivated, passionate, successful. How do you actually lead the best? How would you want to be lead? How to build and manage a successful team? Here I’m talking of my more than 10 year long experience as a leader. Create the best environment and let the best creative minds get to work together
 
Mkuu kwa elimu ipi unayotaka kuisema tuanze na kubadili mitaala ya chini kwanza.

Ukijenga msingi mzuri huku mbele inakuwa vyema ila si tunaanza kukuruka na juu pekee.
 
Mana ya elimu ama education imetokea kwa kilatin tafuta uone Mana yake kuwa ni kukitoa kitu kilichopo ndani kukileta nje na kukiendeleza.
Hebu angalia dictionary ya Merriam inasemaje

Choose the Right Synonym for educe

EDUCE, EVOKE, ELICIT, EXTRACT, EXTORT mean to draw out something hidden, latent, or reserved. EDUCE implies the bringing out of something potential or latent. educed order out of chaos EVOKE implies a strong stimulus that arouses an emotion or an interest or recalls an image or memory. a song that evokes warm memories ELICIT usually implies some effort or skill in drawing forth a response. careful questioning elicited the truth EXTRACT implies the use of force or pressure in obtaining answers or information. extracted a confession from him EXTORT suggests a wringing or wresting from one who resists strongly. extorted their cooperation by threatening to inform

Examples of educe in a Sentence​

the gift of a puppy finally educed a response from the shy boy

First Known Use of educe

1603, in the meaning defined at sense 1
 
Kinachofanyika shuleni ninaambiwa Mana ya physics afu natakiwa nikariri nikiulizwa nijibu vile vile ilivyo mkuu.
Ujue uchina watt wanatumia kalkuketa tokea primary. Ni kwa Nini unipime kwa kukariri table na huku ni kitu ambacho kinapatikana ukikataka.
Kuna mchina mmoja aliniona kilaza sijui kazi ananitania lakini Sasa tukawa tunabishania kuhusu kalkuketa orijino. Sasa nikamwambia huku tunatumia Levo gani ya elimu. Akaanza kuniuliza maswali Kama haya unafanyeje.
Yaani Ile kuuliza viswali vya kuzidisha namjibu akakubali kuwa Niko fiti. Ila ufiti ambao sio productive
Kuna vijana wanameza cosine sine tan za special angles mpaka periodic table sijui wanaipeleka wapi.
Tunatesana na tunafanya kazi ambayo haina mana
 
Unakariri formula za hesabu za physics wakati ukizitaka hata gugo zipo.
Unaletewa swali konstant uwe nayo kichwani
 
Ndo Mana waafrika wakienda nje kusoma wakikariri wakimeza wanawakimbiza wazungu basi wanajionaa vichwa kuwa wanawazidi na huku kwenye innovations ambayo mzungu anahitaji na productions mwafrika chalii anabakia kujivunia tu mavyeti kabatini kuwa nimekimbizwa wazungu.cheki mie ni best student
 
Kama unamkumbuka Diof alikuwa anapiga Mpira wa chenga Sana na hatoi pasi goli zipatikane yeye akawa anaonyesha uwezo wa kumiliki mpira
 
Mie ni civil Engineer Ila ukiniambia nichanganye zege la kupata grade 30 hapa nilipo sijui labda nigugo kwanza.
Yaani nimemeza theory nijibu mtihani nifaulu makunza nyaoro shirima rubarutuka funga kazi.na Nina miaka kadhaa mtaani nakaribia kufunga kumi from graduu
 
Tuwe wakweli tuache ego or superego isitutawale jamani.uchina engineer wa veta anaheshimika Sana kuliko aliyetokea kama huko udsm
 
Kuna profesa wa uchumi Ila hawezi fundisha namna ya kununua share na ku invest ama hajawahi Ila yeye anatoa theory kwenda mbele
 
Back
Top Bottom