Ushauri: Serikali ianzishae fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,312
8,213
Waziri wa Mawasiliano nakushauri anzisha fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja.

Yaani mfano ukibaini hiyo namba ya kitapeli ni ya mtandao wa voda. Basi faini itozwe kampuni ya voda.

Waachie makampuni wao wenyewe ndio wadhibiti ubora wa mawasiliano kwa wateja wao.
 
Mkuu umefanikiwa kuchanja hii chanjo ya Covid 19...?

Sorry for asking.
 
Imekaa poa kabisa, police wanahangaika bure wakati makampuni ya sim yapo, wakitozwa faini moja mambo yanakuwa kwenye mstari
 
Ninyi ndo madikteta wenyewe. Cyber crime nayo inakuwa, watu wanaumiza vichwa kubypass system ili kufanya utapeli, vivyo hivyo makampuni yanatumia fedha nyingi kujilinda na uhalifu.
 
Back
Top Bottom