Ushauri: Serikali ianze kuwafuatilia Watumishi wanao-like post za Wapinzani na wanaoweka maandiko ya kuipinga

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,634
Hii itaonyesha nani mzalendo nani so mzalendo
Nilishangaa baadhi ya watumishi was umma kuwazodoa watumishi wenzao was umma wazalendo kuntu waliojitolea kuisukuma ndege kwa mikono yao ili kuokoa mafuta ambayo yangetumika kuiwasha na kuisogeza panapotakiwa

Hii tabia iungwe mkono kwa magari ya STK,badala ya kuwasha gari ugeuze,ita watumishi wenzio msukume, na hata pale feri ya Kigamboni na vivuko vingine, noi aibu kivuko kifupi kama Kigamboni kuchoma mafuta yote hayo badala ya abiria wa upande mmoja kuivuta feri kwa kamba kuja upande mwingine, na ikifika upande huu wa upande mwingine waivute

Ni hayo tu kwa Leo

Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Chama Dume, Umoja ni Nguvu
 
Hii itaonyesha nani mzalendo nani so mzalendo
Nilishangaa baadhi ya watumishi was umma kuwazodoa watumishi wenzao was umma wazalendo kuntu waliojitolea kuisukuma ndege kwa mikono yao ili kuokoa mafuta ambayo yangetumika kuiwasha na kuisogeza panapotakiwa

Hii tabia iungwe mkono kwa magari ya STK,badala ya kuwasha gari ugeuze,ita watumishi wenzio msukume, na hata pale feri ya kigamboni na vivuko vingine,ni aibu kivuko kifupi kama kigamboni kuchoma mafuta yote hayo badala ya abiri was upande mmoja kuivuta feri kwa kamba kuja upande mwingine,na ikifika upande huu wa upande mwingine waivute

Ni hayo tu kwa Leo

Kidumu Chama Cha Mapinduzi,Chama Dume,Umoja ni Nguvu
Hahaha!
 
Udumu upuuzi wako unashabihiana na ule wa Chama Cha Mapinduzi na fikra mfu za kiuuaji za viongozi wake!!!!
 
Hii itaonyesha nani mzalendo nani so mzalendo
Nilishangaa baadhi ya watumishi was umma kuwazodoa watumishi wenzao was umma wazalendo kuntu waliojitolea kuisukuma ndege kwa mikono yao ili kuokoa mafuta ambayo yangetumika kuiwasha na kuisogeza panapotakiwa

Hii tabia iungwe mkono kwa magari ya STK,badala ya kuwasha gari ugeuze,ita watumishi wenzio msukume, na hata pale feri ya kigamboni na vivuko vingine,ni aibu kivuko kifupi kama kigamboni kuchoma mafuta yote hayo badala ya abiri was upande mmoja kuivuta feri kwa kamba kuja upande mwingine,na ikifika upande huu wa upande mwingine waivute

Ni hayo tu kwa Leo

Kidumu Chama Cha Mapinduzi,Chama Dume,Umoja ni Nguvu

Kozi ya kusukuma yatolewa wapi? Maana wengine usukuma mbele wengine nyuma
 
Hii itaonyesha nani mzalendo nani so mzalendo
Nilishangaa baadhi ya watumishi was umma kuwazodoa watumishi wenzao was umma wazalendo kuntu waliojitolea kuisukuma ndege kwa mikono yao ili kuokoa mafuta ambayo yangetumika kuiwasha na kuisogeza panapotakiwa

Hii tabia iungwe mkono kwa magari ya STK,badala ya kuwasha gari ugeuze,ita watumishi wenzio msukume, na hata pale feri ya kigamboni na vivuko vingine,ni aibu kivuko kifupi kama kigamboni kuchoma mafuta yote hayo badala ya abiri was upande mmoja kuivuta feri kwa kamba kuja upande mwingine,na ikifika upande huu wa upande mwingine waivute

Ni hayo tu kwa Leo

Kidumu Chama Cha Mapinduzi,Chama Dume,Umoja ni Nguvu
We jamaaa acha kuvunja mbavu za watu.. Je treni tutaisukumaje sasa.
 
Hii itaonyesha nani mzalendo nani so mzalendo
Nilishangaa baadhi ya watumishi was umma kuwazodoa watumishi wenzao was umma wazalendo kuntu waliojitolea kuisukuma ndege kwa mikono yao ili kuokoa mafuta ambayo yangetumika kuiwasha na kuisogeza panapotakiwa

Hii tabia iungwe mkono kwa magari ya STK,badala ya kuwasha gari ugeuze,ita watumishi wenzio msukume, na hata pale feri ya kigamboni na vivuko vingine,ni aibu kivuko kifupi kama kigamboni kuchoma mafuta yote hayo badala ya abiri was upande mmoja kuivuta feri kwa kamba kuja upande mwingine,na ikifika upande huu wa upande mwingine waivute

Ni hayo tu kwa Leo

Kidumu Chama Cha Mapinduzi,Chama Dume,Umoja ni Nguvu

Akili zako unazijua mwenyewe. Pengine mwezi mteke!
 
Hivi hili tope jeusi lililoganda katika vichwa vyenu nyinyi ambao mtu akiwa na mawazo mbadala ya CCM basi si mzalendo ...

Hivi nani aliwajaza bongo zenu na hii tafsiri ya tope la kunuka kuwa anae pinga sera za CCM si mzalendo ... ???

Kama ni hivyo basi CCM sio wazelendo on a point of view kwa CDM

Shuwaini kabisa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii itaonyesha nani mzalendo nani so mzalendo
Nilishangaa baadhi ya watumishi was umma kuwazodoa watumishi wenzao was umma wazalendo kuntu waliojitolea kuisukuma ndege kwa mikono yao ili kuokoa mafuta ambayo yangetumika kuiwasha na kuisogeza panapotakiwa

Hii tabia iungwe mkono kwa magari ya STK,badala ya kuwasha gari ugeuze,ita watumishi wenzio msukume, na hata pale feri ya kigamboni na vivuko vingine,ni aibu kivuko kifupi kama kigamboni kuchoma mafuta yote hayo badala ya abiri was upande mmoja kuivuta feri kwa kamba kuja upande mwingine,na ikifika upande huu wa upande mwingine waivute

Ni hayo tu kwa Leo

Kidumu Chama Cha Mapinduzi,Chama Dume,Umoja ni Nguvu
punguani...

Hii itamsaidia vipi mwanafunzi anayesomea chini ya mwembe?

Sent using Sukhoi Su-57
 
Back
Top Bottom