Ushauri: Serikali ianze kuwafuatilia Watumishi wanao-like post za Wapinzani na wanaoweka maandiko ya kuipinga

Hii itaonyesha nani mzalendo nani so mzalendo
Nilishangaa baadhi ya watumishi was umma kuwazodoa watumishi wenzao was umma wazalendo kuntu waliojitolea kuisukuma ndege kwa mikono yao ili kuokoa mafuta ambayo yangetumika kuiwasha na kuisogeza panapotakiwa

Hii tabia iungwe mkono kwa magari ya STK,badala ya kuwasha gari ugeuze,ita watumishi wenzio msukume, na hata pale feri ya Kigamboni na vivuko vingine, noi aibu kivuko kifupi kama Kigamboni kuchoma mafuta yote hayo badala ya abiria wa upande mmoja kuivuta feri kwa kamba kuja upande mwingine, na ikifika upande huu wa upande mwingine waivute

Ni hayo tu kwa Leo

Kidumu Chama Cha Mapinduzi, Chama Dume, Umoja ni Nguvu
Kinembe bana... Subiri kukojoleshwa tu
 
Mav sana wewe. NIIUNGE MKONO SERIKALI ambayo HANIUNG NKONO nyambaf sana wewe. Majitu yanajineema yenyewe na walinz wao haf tuwaunge nkono sisi. Tatizo tu wafanyakaz weng wa nchi n malofa lait kama wote tungekuwa na umoja Magufuli na Tim yake ingekuwa mwisho awam hii. Jamaa anabifu na wafanyakaz kana kwamba kunakitu walinkosea hafu anataka wafanye kaz kwa bidii subutu.watu wamechukua pesa kidogo tu hapo Morogoro Majaliwa na tim take pov hilo,mnadhan wenzenu hawataki kuishi na kula vzr kama ninyi? Binafs n mzalendo lkn sio uzalendo wa mapambio kama wehu wengine.#drop magu2020.Akirud tena 2020 wafanyakaz andiken mmeumia huyo sio binadam wa kawaida.
 
Back
Top Bottom