Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,405
- 14,168
Lima vya kwako afu uzuiwe usipeleke nje ndipo uone raha yake.Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala wako najua hutafurahia kusikia watu wanasaga pumba iwe ndo chakula chao!!!
Chonde chonde waziri wa kilimo,biashara nk kama mnapita humu fikisheni taarifa hii haraka kuwanisuru wananchi,,,Chakula ni jambo linalogusa usalama wa Taifa letu ikiwezekana weka bei elekezi ya mazao isiyomuumiza mkulima wala mlaji,,,Zuia mazao kwenda nje tafadhali
Mfumuko wa bei mmeshindwa lkn hili najua mnaweza
Si soko huria ama. Si unatafuta hela unazo una wasiwasi gani kwani utakula hela zako.
Yaani mtu alime umpangie auze wapi sio ujamaa huu ,