tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,795
- 18,217
- Thread starter
- #281
Mbunge anapofariki, mtoto wake huteuliwa kumrithi lakini kwa kuwa Joseph Magufuli hakufanikiwa kurithi kazi ya Urais aliyokuwa akiishikilia baba yake kwa sababu ya kubanwa na katiba, kuna ubaya gani kijana huyu shupavu akateuliwa kuwa Mbunge na Waziri? Mbona watanzania mna roho mbaya kiasi hiki? Kama mama Samia bado anayo nafasi kwenye zile nafazi zake 10 kwanini asimteue?Ubongo wako Umeoza