USHAURI: Rais Samia Suluhu amteue Joseph Magufuli kuwa Mbunge na Waziri

Huyo kijana amtafutie permanent job kwenye taasisi moja safi inatosha (like BOT, TRA & TCRA)

Apate uwezo/uhakika wa kumtunza Mama yake na Bibi yake
Tatizo mna "information" ndogo juu ya "fringe benefits" za mke w Raisi.
Huyo mama kashaukata yeye na kizazi chake. Unasema "amtunze". Familia ya raisi inatunzwa na selikali to infinity.
 
Nikiri kuwa binafsi nilikuwa simfahamu Joseph Magufuli kwa undani hadi nilipomuona juzi akiongea kwenye kongamano la kidini kule Chamwino, Dodoma.

Kijana huyu jasiri alipokaribishwa kutoa shukrani za familia mbele ya Rais na viongozi wa dini, alionesha ukomavu mkubwa sana. Kwa wale mliofuatilia kongamano hili mtakubaliana nami kuwa hata mama Samia alionyesha kumkubali.

Bila kuwachosha na maneno mengi, naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Umekuwa ni utaratibu wa kawaida kiongozi anapofariki, hasa mbunge, mtoto wake huchukua usukani wa jimbo alilokuwa akiliongoza marehemu baba au mama yake. Mifano ipo mingi sina haja ya kuitaja.

Sasa kwa kuwa Rais Magufuli kipenzi cha wana wa Tanzania, Afrika na dunia nzima ametutoka ghafla pasipo kutarajia, namuomba sana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu amteue ndugu Joseph John Pombe Magufuli kuwa mbunge na hata kama itampendeza amteue kuwa waziri katika wizara yoyote atakayoona inafaa.

Ninazo sababu zilizonipelekea kutuma ombi langu hili kwa mama Samia na nitazieleza kwa ufupi sana kama ifuatavyo:

Marehemu Rais John Pombe Joseph Magufuli alikuwa kipenzi cha watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla. Kitendo cha kumteua Joseph Magufuli kuwa mbunge kitawafuta machozi watanzania, hasa pale watakapokuwa wakisikia jina la Magufuli likitajwa kupitia kwa mtoto wake.

Tukumbuke kuwa Magufuli alikuwa anapendwa na watanzania wote pasipo kujali tofauti zao za kidini, kisiasa, kikabila, kikanda na kijamii. Hivyo basi, uwepo wa mtoto wa Magufuli ndani ya serikali utawafariji watanzania wote na watu wenye mapenzi na maendeleo ya taifa letu.

Kama ilivyo kawaida kwa watoto wa wabunge waliofariki kufutwa machozi kwa kupewa ubunge kwenye majimbo waliyokuwa wakiyaongoza wazazi wao, kitendo cha Joseph Magufuli kuteuliwa kuwa mbunge na waziri kitasaidia kuifuta machozi familia kwa kuwa nina imani mshahara atakaokuwa anaupata kutokana na uwaziri utasaidia sana kuboresha hali za kiuchumi za wanafamilia.

Ingekuwa baba yake alikuwa mbunge ingekuwa rahisi sana kuteuliwa kugombea ubunge na kukalia kiti cha jimbo la baba yake. Lakini kwa kuwa baba alikuwa Rais, na kwa mujibu sheria anayepaswa kukalia kiti hicho ni makamu wa Rais, hatuwezi kusema mama Samia ampishe akalie usukani kwa kuwa tukifanya hivyo tutakuwa tunavunja katiba ya nchi. Hivyo, njia pekee ya Joseph Magufuli kupenya kwenye siasa ni kupitia ubunge na uwaziri wa kuteuliwa.

Joseph Magufuli ni kijana msomi na mwenye uwezo wa kuongoza wizara yoyote ijapokuwa hajawahi kuingia kwenye siasa. Hivyo, nina imani kuwa anaweza kuwa waziri mzuri kama alivyokuwa baba yake. Na ningependekeza mama Samia amteue kuwa waziri wa ujenzi ili kumuenzi marehemu baba yake aliyewahi kuongoza wizara hiyo kwa ufanisi mkubwa. Ikiwa watoto wa wabunge waliowahi kuziba nafasi za baba/mama zao huko nyuma hawakushindwa, iweje Joseph yeye ashindwe?

Kwa sababu hizi nilizozitaja hapo juu, namuomba sana mama yetu na Rais wetu mpendwa H.E Samia Suluhu Hassan amteue Joseph Magufuli kuwa mbunge na kama itampendeza amteue kuwa waziri wa ujenzi.

Nawasilisha.​

Hii ajabu kwakweli, si ajabu kupata viongozi wa hovyo kama raia wenyewe ndio kina sie
 
Moja kati ya upumbavu niliowahi kusoma JF
 
Dahh kuna watu wana mawazo ya kipuudhi sana
Na tabia hii ya kufanya uongozi wa nchi hii kuwa wa kiimla na ikome ni upuudhi tu yaani kabisa unashauri mtu ateuliwe kwenye nafasi ya umma kama kumfuta machozi,
Mawazo ya kipuudhi sana
Haswaa, ni mawazo ya kijinga kutoka kwa mjinga mmoja. Hatuwezi kugawa nafasi za uongozi wa nchi kwa kufarijiana na kufutana machozi. Tuache wenye uwezo wapate nafasi.
Kipuudhi
Kipuuzi
 
Mama Kikwete hukuona uteuzi mkuu?
Mwanae LizzOne Mbunge wa kudumu...
Akina Mnyauye si hao wanaliowa fwadhila milele?
Akina Makambaz?

Sio mbaya Jose akapewa ....
Mmeshaanza tena Unafiki na Upuuzi wenu kama kawaida. Mbona hujasema na Watoto wa Hayati Rais Mstaafu Mkapa ( achilia mbali wa Nyerere, Mwinyi na Kikwete ) nao Wateuliwe?

Tena Mimi sishauri kabisa Rais Samia amteue huyu Mtoto wa Hayati Rais Dkt. Magufuli aitwae Joseph bali amuongezee tu Ulinxi kwakuwa huenda Watanzania waliokwazwa na Baba yake ( Hayati ) wakaamua kupita nae mazima ili Kuhitimisha Hasira zao ( Machungu yao ) Kwake.
 
Nikiri kuwa binafsi nilikuwa simfahamu Joseph Magufuli kwa undani hadi nilipomuona juzi akiongea kwenye kongamano la kidini kule Chamwino, Dodoma.

Kijana huyu jasiri alipokaribishwa kutoa shukrani za familia mbele ya Rais na viongozi wa dini, alionesha ukomavu mkubwa sana. Kwa wale mliofuatilia kongamano hili mtakubaliana nami kuwa hata mama Samia alionyesha kumkubali.

Bila kuwachosha na maneno mengi, naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Umekuwa ni utaratibu wa kawaida kiongozi anapofariki, hasa mbunge, mtoto wake huchukua usukani wa jimbo alilokuwa akiliongoza marehemu baba au mama yake. Mifano ipo mingi sina haja ya kuitaja.

Sasa kwa kuwa Rais Magufuli kipenzi cha wana wa Tanzania, Afrika na dunia nzima ametutoka ghafla pasipo kutarajia, namuomba sana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu amteue ndugu Joseph John Pombe Magufuli kuwa mbunge na hata kama itampendeza amteue kuwa waziri katika wizara yoyote atakayoona inafaa.

Ninazo sababu zilizonipelekea kutuma ombi langu hili kwa mama Samia na nitazieleza kwa ufupi sana kama ifuatavyo:

Marehemu Rais John Pombe Joseph Magufuli alikuwa kipenzi cha watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla. Kitendo cha kumteua Joseph Magufuli kuwa mbunge kitawafuta machozi watanzania, hasa pale watakapokuwa wakisikia jina la Magufuli likitajwa kupitia kwa mtoto wake.

Tukumbuke kuwa Magufuli alikuwa anapendwa na watanzania wote pasipo kujali tofauti zao za kidini, kisiasa, kikabila, kikanda na kijamii. Hivyo basi, uwepo wa mtoto wa Magufuli ndani ya serikali utawafariji watanzania wote na watu wenye mapenzi na maendeleo ya taifa letu.

Kama ilivyo kawaida kwa watoto wa wabunge waliofariki kufutwa machozi kwa kupewa ubunge kwenye majimbo waliyokuwa wakiyaongoza wazazi wao, kitendo cha Joseph Magufuli kuteuliwa kuwa mbunge na waziri kitasaidia kuifuta machozi familia kwa kuwa nina imani mshahara atakaokuwa anaupata kutokana na uwaziri utasaidia sana kuboresha hali za kiuchumi za wanafamilia.

Ingekuwa baba yake alikuwa mbunge ingekuwa rahisi sana kuteuliwa kugombea ubunge na kukalia kiti cha jimbo la baba yake. Lakini kwa kuwa baba alikuwa Rais, na kwa mujibu sheria anayepaswa kukalia kiti hicho ni makamu wa Rais, hatuwezi kusema mama Samia ampishe akalie usukani kwa kuwa tukifanya hivyo tutakuwa tunavunja katiba ya nchi. Hivyo, njia pekee ya Joseph Magufuli kupenya kwenye siasa ni kupitia ubunge na uwaziri wa kuteuliwa.

Joseph Magufuli ni kijana msomi na mwenye uwezo wa kuongoza wizara yoyote ijapokuwa hajawahi kuingia kwenye siasa. Hivyo, nina imani kuwa anaweza kuwa waziri mzuri kama alivyokuwa baba yake. Na ningependekeza mama Samia amteue kuwa waziri wa ujenzi ili kumuenzi marehemu baba yake aliyewahi kuongoza wizara hiyo kwa ufanisi mkubwa. Ikiwa watoto wa wabunge waliowahi kuziba nafasi za baba/mama zao huko nyuma hawakushindwa, iweje Joseph yeye ashindwe?

Kwa sababu hizi nilizozitaja hapo juu, namuomba sana mama yetu na Rais wetu mpendwa H.E Samia Suluhu Hassan amteue Joseph Magufuli kuwa mbunge na kama itampendeza amteue kuwa waziri wa ujenzi.

Nawasilisha.​

Hii nchi si mali ya Magufuli.
Tuelewane kabisaa.
 
Binafsi sina shaka na Jose kwenye uongozi ni yuko vizuri msomi na anajua uongoz na anahistoria ya kuongoza nimesoma nae darasa moja alikua moja wapo wa mawaziri shule..ila kuhusu swala la kuteuliwa litafatana na yeye je anapenda, sio kumteua wakati hayuko hata interested na siasa..kwanza mtu mwenyewe anajiishia maisha ya kawaida sana hataki show off sidhan kama anashida hata ya kuwa kiongozi.na pia kama kimaisha katengenezewa foundation nzuri yuko sawa haswaa..basi tu anaishi low key.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hata hivyo wakati wakiishi Maisha hsya ya Kubebwa kwakuwa ni Familia ya Rais Kimoyomoyo wawe wanakmba CCM iendelee Kutawala Tanzania kwani Vyama vya Upinzani vikishika tu Dola hizo Hela zote watazitapika.

Na Mali zote zisizo za halali za Baba yake zitanyakuliwa na hata Yeye ( Mwanae huyu Joseph ) atatueleza ni kwanini amenenepa hivi wakati Watanzania wengi tumekondeana kama FidoDido.
Haaa fidodido
 
Yaani wewe mtoa mada hauko vizuri kimaadili. Yaani watoto Wa viongozi has jamani tupo million 50. Yaani hata wewe mtoa mada hufai uongozi zaidi ya Jose. Acha kututonesha madonda na kutia maana nchi
Jose mwenyewe kanenepa kweli akipewa uongozi so atapasuka mtuletee tena tanzia acha kutaka kumdedisha mwenzio kwa presha
Kwani,a watanzania tulio wengi tumekonda fidodido style sasa mwenzentu kapata wapi minyama hiyo
 
Jinga kabsa ww, huna sera wala wazo la maana huna tofauti na MATAGA. Eti achuculiwe just because ni mwanae jiwe. Watu kama ww na fikra zako ndo huwa mnaharibu kila kitu mkipata whadhifa. Stupid kabsa yani hapo constructive wala objective ni mihemko tu
Nikiri kuwa binafsi nilikuwa simfahamu Joseph Magufuli kwa undani hadi nilipomuona juzi akiongea kwenye kongamano la kidini kule Chamwino, Dodoma.

Kijana huyu jasiri alipokaribishwa kutoa shukrani za familia mbele ya Rais na viongozi wa dini, alionesha ukomavu mkubwa sana. Kwa wale mliofuatilia kongamano hili mtakubaliana nami kuwa hata mama Samia alionyesha kumkubali.

Bila kuwachosha na maneno mengi, naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Umekuwa ni utaratibu wa kawaida kiongozi anapofariki, hasa mbunge, mtoto wake huchukua usukani wa jimbo alilokuwa akiliongoza marehemu baba au mama yake. Mifano ipo mingi sina haja ya kuitaja.

Sasa kwa kuwa Rais Magufuli kipenzi cha wana wa Tanzania, Afrika na dunia nzima ametutoka ghafla pasipo kutarajia, namuomba sana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu amteue ndugu Joseph John Pombe Magufuli kuwa mbunge na hata kama itampendeza amteue kuwa waziri katika wizara yoyote atakayoona inafaa.

Ninazo sababu zilizonipelekea kutuma ombi langu hili kwa mama Samia na nitazieleza kwa ufupi sana kama ifuatavyo:

Marehemu Rais John Pombe Joseph Magufuli alikuwa kipenzi cha watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla. Kitendo cha kumteua Joseph Magufuli kuwa mbunge kitawafuta machozi watanzania, hasa pale watakapokuwa wakisikia jina la Magufuli likitajwa kupitia kwa mtoto wake.

Tukumbuke kuwa Magufuli alikuwa anapendwa na watanzania wote pasipo kujali tofauti zao za kidini, kisiasa, kikabila, kikanda na kijamii. Hivyo basi, uwepo wa mtoto wa Magufuli ndani ya serikali utawafariji watanzania wote na watu wenye mapenzi na maendeleo ya taifa letu.

Kama ilivyo kawaida kwa watoto wa wabunge waliofariki kufutwa machozi kwa kupewa ubunge kwenye majimbo waliyokuwa wakiyaongoza wazazi wao, kitendo cha Joseph Magufuli kuteuliwa kuwa mbunge na waziri kitasaidia kuifuta machozi familia kwa kuwa nina imani mshahara atakaokuwa anaupata kutokana na uwaziri utasaidia sana kuboresha hali za kiuchumi za wanafamilia.

Ingekuwa baba yake alikuwa mbunge ingekuwa rahisi sana kuteuliwa kugombea ubunge na kukalia kiti cha jimbo la baba yake. Lakini kwa kuwa baba alikuwa Rais, na kwa mujibu sheria anayepaswa kukalia kiti hicho ni makamu wa Rais, hatuwezi kusema mama Samia ampishe akalie usukani kwa kuwa tukifanya hivyo tutakuwa tunavunja katiba ya nchi. Hivyo, njia pekee ya Joseph Magufuli kupenya kwenye siasa ni kupitia ubunge na uwaziri wa kuteuliwa.

Joseph Magufuli ni kijana msomi na mwenye uwezo wa kuongoza wizara yoyote ijapokuwa hajawahi kuingia kwenye siasa. Hivyo, nina imani kuwa anaweza kuwa waziri mzuri kama alivyokuwa baba yake. Na ningependekeza mama Samia amteue kuwa waziri wa ujenzi ili kumuenzi marehemu baba yake aliyewahi kuongoza wizara hiyo kwa ufanisi mkubwa. Ikiwa watoto wa wabunge waliowahi kuziba nafasi za baba/mama zao huko nyuma hawakushindwa, iweje Joseph yeye ashindwe?

Kwa sababu hizi nilizozitaja hapo juu, namuomba sana mama yetu na Rais wetu mpendwa H.E Samia Suluhu Hassan amteue Joseph Magufuli kuwa mbunge na kama itampendeza amteue kuwa waziri wa ujenzi.

Nawasilisha.​
 
Nikiri kuwa binafsi nilikuwa simfahamu Joseph Magufuli kwa undani hadi nilipomuona juzi akiongea kwenye kongamano la kidini kule Chamwino, Dodoma.

Kijana huyu jasiri alipokaribishwa kutoa shukrani za familia mbele ya Rais na viongozi wa dini, alionesha ukomavu mkubwa sana. Kwa wale mliofuatilia kongamano hili mtakubaliana nami kuwa hata mama Samia alionyesha kumkubali.

Bila kuwachosha na maneno mengi, naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Umekuwa ni utaratibu wa kawaida kiongozi anapofariki, hasa mbunge, mtoto wake huchukua usukani wa jimbo alilokuwa akiliongoza marehemu baba au mama yake. Mifano ipo mingi sina haja ya kuitaja.

Sasa kwa kuwa Rais Magufuli kipenzi cha wana wa Tanzania, Afrika na dunia nzima ametutoka ghafla pasipo kutarajia, namuomba sana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu amteue ndugu Joseph John Pombe Magufuli kuwa mbunge na hata kama itampendeza amteue kuwa waziri katika wizara yoyote atakayoona inafaa.

Ninazo sababu zilizonipelekea kutuma ombi langu hili kwa mama Samia na nitazieleza kwa ufupi sana kama ifuatavyo:

Marehemu Rais John Pombe Joseph Magufuli alikuwa kipenzi cha watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla. Kitendo cha kumteua Joseph Magufuli kuwa mbunge kitawafuta machozi watanzania, hasa pale watakapokuwa wakisikia jina la Magufuli likitajwa kupitia kwa mtoto wake.

Tukumbuke kuwa Magufuli alikuwa anapendwa na watanzania wote pasipo kujali tofauti zao za kidini, kisiasa, kikabila, kikanda na kijamii. Hivyo basi, uwepo wa mtoto wa Magufuli ndani ya serikali utawafariji watanzania wote na watu wenye mapenzi na maendeleo ya taifa letu.

Kama ilivyo kawaida kwa watoto wa wabunge waliofariki kufutwa machozi kwa kupewa ubunge kwenye majimbo waliyokuwa wakiyaongoza wazazi wao, kitendo cha Joseph Magufuli kuteuliwa kuwa mbunge na waziri kitasaidia kuifuta machozi familia kwa kuwa nina imani mshahara atakaokuwa anaupata kutokana na uwaziri utasaidia sana kuboresha hali za kiuchumi za wanafamilia.

Ingekuwa baba yake alikuwa mbunge ingekuwa rahisi sana kuteuliwa kugombea ubunge na kukalia kiti cha jimbo la baba yake. Lakini kwa kuwa baba alikuwa Rais, na kwa mujibu sheria anayepaswa kukalia kiti hicho ni makamu wa Rais, hatuwezi kusema mama Samia ampishe akalie usukani kwa kuwa tukifanya hivyo tutakuwa tunavunja katiba ya nchi. Hivyo, njia pekee ya Joseph Magufuli kupenya kwenye siasa ni kupitia ubunge na uwaziri wa kuteuliwa.

Joseph Magufuli ni kijana msomi na mwenye uwezo wa kuongoza wizara yoyote ijapokuwa hajawahi kuingia kwenye siasa. Hivyo, nina imani kuwa anaweza kuwa waziri mzuri kama alivyokuwa baba yake. Na ningependekeza mama Samia amteue kuwa waziri wa ujenzi ili kumuenzi marehemu baba yake aliyewahi kuongoza wizara hiyo kwa ufanisi mkubwa. Ikiwa watoto wa wabunge waliowahi kuziba nafasi za baba/mama zao huko nyuma hawakushindwa, iweje Joseph yeye ashindwe?

Kwa sababu hizi nilizozitaja hapo juu, namuomba sana mama yetu na Rais wetu mpendwa H.E Samia Suluhu Hassan amteue Joseph Magufuli kuwa mbunge na kama itampendeza amteue kuwa waziri wa ujenzi.

Nawasilisha.​

Pole. Aliyekuloga kesha tutoka.
 
Mmeshaanza tena Unafiki na Upuuzi wenu kama kawaida. Mbona hujasema na Watoto wa Hayati Rais Mstaafu Mkapa ( achilia mbali wa Nyerere, Mwinyi na Kikwete ) nao Wateuliwe?

Tena Mimi sishauri kabisa Rais Samia amteue huyu Mtoto wa Hayati Rais Dkt. Magufuli aitwae Joseph bali amuongezee tu Ulinxi kwakuwa huenda Watanzania waliokwazwa na Baba yake ( Hayati ) wakaamua kupita nae mazima ili Kuhitimisha Hasira zao ( Machungu yao ) Kwake.
Usukuma ni shida!
 
Back
Top Bottom