Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown.

Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige picha.

Personally nitafurahi maana sijamwona Mabeyo siku nyingi.

Ukimya wake unanistua!. Siku njema.
Kwani mjeda mkuu alifanikiwa kufikisha ule ujumbe?

Na kama ujumbe ulipokewa ulifanyiwa kazi?
 
Kwani mjeda mkuu alifanikiwa kufikisha ule ujumbe?

Na kama ujumbe ulipokewa ulifanyiwa kazi?

..namshauri Maza wakati mwingine awe anavaa uniform za jeshi kama alivyokuwa akifanya mtangulizi wake.

..hiyo itapeleka ujumbe mahsusi kwa wenye nia ya kutingisha kiberiti.
 
..namshauri Maza wakati mwingine awe anavaa uniform za jeshi kama alivyokuwa akifanya mtangulizi wake.

..hiyo itapeleka ujumbe mahsusi kwa wenye nia ya kutingisha kiberiti.
Kwani mama amepitia mafunzo ya kijeshi?

JPM alikwenda mbali kidogo.
 
Mkuu wa majeshi si mtu wa kuonekana mara kwa mara kwenye media. Hivyo usiwe na hofu, yupo ni mzima wa afya.
 
Ni kati ya wale walokumbushwa kwenda huko kwa mujibu wa sheria.

..Hussein Mwinyi yeye alikuwa huku Tanganyika lakini hakwenda JKT.

..Na miaka hiyo kila aliyemaliza form 6, hata aliyepata Division zero, ilikuwa lazima kwa mujibu wa sheria akatumikie JKT.

..kwenye nchi za wenzetu Hussein Mwinyi asingeweza kutumikia ktk wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
 
Mabeyo yupo, juzi kati alikuwepo sehemu kama mgeni rasmi na akatoa hotuba fupi. Mabeyo hapendi kelele sio politician.
Wakati wa Magufuli kwenye misafara yake lazima awepo
Simon
Mabeyo
Diwani
Yule wa uhamiaji
Wa magereza
Wa zimamato

Yaani utafikiri maigizo
 
Mleta mada alikuwwa analeta ujumbe mzito akiuelekeza kwa mama ; lakini inaelekea wengi hatujauelewa ujumbe huo!!! Kumbuka aliamza na malalamiko ya watu kuhusu [ inflation] kupanda bei kwa kasi kwa bidhaa nyingi!!
Wachache sana ndio waliomuelewa mtoa mada. Lakini ukifikiri nje ya box kuna.......
 
Mbowe ushahidi wa kuokoteza bashite uhitaji torch
Nilichocomment na ulichonijibu mbona haviendani?
Umesema mama hahusiki na kumuweka mbowe ndani
Ndio nikakuambia hata Kama hausiki anaweza kumtoa mbowe, mbona hakuhusika kuwaweka masheikh wa uamsho ndani Ila aliweza kuwatoa?
 
CDF Mabeyo kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama Kila siku analipoti kwa Rais pia yupo kwenye kamati ya Baraza la Usalama la Taifa hivo basi Kila siku lazima aongee na Rais kumpa briefing za nchi kiulinzi na kiusalama.
CDF siyo mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni mkuu wa majeshi ya ulinzi.... Raisi ndio mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama..majeshi ya usalama( ni polisi, magereza, migration na taasisi kama TISS, Takukuru) haya Yana maboss wake... Yeye ni mkuu wa majeshi ya ulinzi yani( army, navy, airforce pamoja na wing ya JKT
 
Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown.

Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige picha.

Personally nitafurahi maana sijamwona Mabeyo siku nyingi.

Ukimya wake unanistua!. Siku njema.

Rais inabidi ashughulikie vitu muhimu kwa uchumi. Mikopo ya bank za biashara iko juu sana kasomeni topic yangu
 
Back
Top Bottom