Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,142
- 3,349
Kunastori nilishawahi sikia kuwa, kunafedha ya mfadhili ilishaletaga utata kati ya wizara ya afya na Tamisemi kuhusu utoaji chanjo Fulani ambapo mfadhili alivyoweka mpunga tu, wizara ya afya ikataka kusimamia shoo nzima, huku na kule Tamisemi wakasimama na kusema mzigo inabidi wausimamie wao coz ndio wenye rasilimali watu. Kwa kiasi Fulani nakubaliana na mtoa mada