Ushauri plz! Umefanya usaili then unaambiwa utoe hela ndo upewe ajira! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri plz! Umefanya usaili then unaambiwa utoe hela ndo upewe ajira!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ndyoko, Jul 13, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Kuna jamaa yangu alifanya usaili, sasa jana
  kaambiwa na mtu anayedai anafanya kazi kwa hiyo
  ofisi kwamba inabidi atoe hela kwanza ili aweze
  kupewa hiyo ajira. Huyo mtu inaonekana amepata details
  za kwenye CV ya mhusika kwani alikuwa anajaribu
  kusoma maelezo binafsi ya mwajiriwa mtarajiwa.

  Jamaa bado hajaamua kama atoe au laaa, maana
  kazi anaipenda lakini hana uhakika kama akitoa hiyo
  hela kweli ataipata hiyo kazi au ndo itakuwa imekula kwake.

  Mshaurini huyu ndugu please!
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Amwambie ampe kwanza kazi then mshahara wa kwanza atampatia.
   
 3. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Utapeli kaka asijaribu kutoa hela yoyote.........
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mbona rahisi.....jamaa amwambie siku ile atakaposaini mkataba tu....akitoka hapo anamtoa........akitoa kabla imekula kwake....akishaingia kazi hata asitoe hiyo hela!!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Amwambie kwamba akishaajiriwa mshaara wa kwanza atapiga pasu nae so ampitishe kwanza
   
 6. M

  Mudamali Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndivyo great thinkes tunavyotakiwa kufikiria. Mwambie asitoe pesa. Ushauri wa huyu mdau ndio anaotakiwa kuzingatia.
   
 7. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Ngastuka
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hongo hongo hongo kila mahala
   
 9. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Me naona kuna hatari ya kuibiwa shtuka.......
   
Loading...