Ushauri plz - Nataka Kuoa Mmasai

masalapa

Senior Member
Oct 29, 2012
137
66
Wadau, kheri ya Mwaka Mpya!

Kuna dada mmoja wa Kimasai amekuwa akiniganda na kuonyesha ananipenda sana ingawa sijawahi kuwa karibu naye kwa kukaa pamoja na kusomana tabia. Sasa anataka tuoane, wadau naombeni ushauri wenu hivi hawa watu kitabia wakoje? Na je, vipi taratibu za ndoa kwao zikoje? Naombeni ushauri wenu plz!
 
Kwanini unataka kujua tabia za wamasai badala ya kujikita katka kujua za huyo unayetaka kumuoa? kwani wote wanatabia sawa? halafu anayekuganda siyo mzuri siku gundi ikiisha utamkimbia tafuta mnayegandana hata gundi ikiisha umri unakuwa umesonga!
 
zungumza naye kwani licha ya masai tradition pia kuna family taboos ambazo ni muhimu ufanye hivyo
 
Kuwa makini. Kuna wamasai, waarusha na wakwavi. Wakati mwingine hata wameru wanajiita wamasai kuongeza cv. Wamasai ni poa. Hao wengine kawaida tu ila wameru majanga.
 
Unaoa mke au unaoa tabia? Wewe tayari uko biased na therefore waweza usipate mke mwema
 
Wadau, kheri ya Mwaka Mpya!

Kuna dada mmoja wa Kimasai amekuwa akiniganda na kuonyesha ananipenda sana ingawa sijawahi kuwa karibu naye kwa kukaa pamoja na kusomana tabia. Sasa anataka tuoane, wadau naombeni ushauri wenu hivi hawa watu kitabia wakoje? Na je, vipi taratibu za ndoa kwao zikoje? Naombeni ushauri wenu plz!
Yeroo unataka kuoa mmsai karibu bwana shemeji.
Lakini utaweza kukwepa mishale wewe?.
 
maziwa utakunywa mpaka ya punda kwani wanachota maji, kubeba kuni na punda pia, cha ziada mtafunga harus kwenye gari linalovutwa na punda jike
 
Kwanini unataka kujua tabia za wamasai badala ya kujikita katka kujua za huyo unayetaka kumuoa? kwani wote wanatabia sawa? halafu anayekuganda siyo mzuri siku gundi ikiisha utamkimbia tafuta mnayegandana hata gundi ikiisha umri unakuwa umesonga!

kwi kwi kwiiiiiiii
 
Back
Top Bottom