Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,074
Swali langu ni kwamba kila tukiwa na msuguano (fight) mume wangu huniomba tufanye sex ili tusawazishe mambo ,hata hivyo binafsi hujikuta nimekasirika bado na sina mood na yeye analalamika kwamba bado nina donge moyoni na kwamba hatujayamaliza. je kufanya sex ndiyo suluhisho la mikwaruzo tuliyonayo?