Ushauri please.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri please..

Discussion in 'JF Doctor' started by MOST WANTED, Feb 23, 2012.

 1. MOST WANTED

  MOST WANTED Senior Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Nifanyaje kupunguza mafuta mwilini,pimples na black spots ?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  hujatueleza wewe ni nani Mwanamke au Mwanamme? Mkuu Most Wanted? una miaka mingapi? umeowa au umeolewa?
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huwa zina kuwa nyingi kutokana na ANDROGENS mwilini. Ili kuzipunguza au kuzi controle, ni lazima uweze kutawala matamanio yako ya kimwili. Najuwa kuwa pamoja na hizo pimples lazima jasho lako la kwapani linanuka sana.

  Jaribu kujituliza kwa activities kama kucheza mpira, kufanya exercises ili mwili uchoke usiwe na fikra za matamanio.

  GOOD LUCK !!!!!!
   
Loading...