Ushauri please, mke wangu simuelewi, nimemkuta anasagana na mama yake

Mar 1, 2015
43
41
Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa miaka 30. Ni mwaka sasa tangu nimuoe binti wa miaka 26. Nilijuana nae tangu anamiaka 24 ndo mahusiano yalipoanza. Miezi mitatu baada ya kumuoa akaanza kulalamika kuhusu mama yake kwamba anapata shida natoa 50,000 kwa ajili ya mama mkwe.

Mke wangu akaendelea kulalamika kuwa mama yake hana mtu wa kukaanae na kumpikia/kumfulia na kufanya usafi. Nikamshauri amtafute binti wa kukaa na mama mkwe (dada wa ndani). Alikataa katakata. Mke wangu nimemfungulia saloon kubwa tu na duka la jumla.

Mwisho wa siku mama mkwe akahamia kwangu wakaanza kusaidiana biashara. Kiukweli sikupendezwa na hilo ila halikuniumiza kichwa sana. Sasa hivi mke wangu ana ujauzito wa miezi nane nimemfumania live na mama mkwe wakigegedana. Hii inaniumiza sana.

Ndoa yangu ni ya kanisani nilifikiria nifanye maamuzi magumu ambayo yangeweza kunigharimu. Ila kabla ya maamuzi nilimuita mke wangu kwa upole chumbani na kumuuliza kwanini anayafanya haya.

Alinitukana na kunijibu kwa dharau sana akaniambia hayuko tayari kumuacha mama yake ambaye alimjua kwanza kuliko mimi. Kwahiyo niamue nitakacho maana nafaham kabisa kuwa mama yake ni mpweke (single mother).

Nilitoka nikiwa very frustrated nikielekea nisiko kufahamu. Mawazo yananizidi naombeni ushauri wanajamvi tangu nimfumanie mke wangu leo ni siku ya tatu analala chumbani kwa mama yake.

Nifanyeje?

Am very frustrated, ushauri tuu wa nini la kufanya..

Ahsante!
 
Kuna ndoa zina matatizo ila hii yako imezidi. Humu watu wazima siku hizi hamna walishaondoka JF so tatizo lako ni kubwa kuliko umri wa watu wa JF cha kufanya nenda kanisani waeleze watajua jinsi ya kukusaidia na tatizo kama ilo. Makanisa mengi hasa ya RC kuna wataalam sana wa saikolojia ambao wanaweza kuwasaidia sana na pia kuwarudisha wote kwenye mstari ulioonyooka wa kiimani
 
Nenda kanisani kwa viongozi wa kanisa. Wakishindwa kutatua na kuivunja ndoa hiyo kachukue talaka serikalini.
 
Muhimu usiache jambo kama hili liendelee kukupa stress tafuta mshenga wako na wazazi wako kaa nao waeleze na kama unaushahidi vema pia wakiona,hapo lazima suluu itapatikana ama ndoa ivunjwe au usamehe hata vitabu vitakatifu havitaki uchafu wa hivo na sheria zetu hazitambui usagaji.
 
Hapo huna mke isipokuwa unaishi na mke wa mtu(shoga)
Hakuna kanisa linaloruhusu ushoga hapa Tanzania.
~hata Wakatoliki wana vipengele vinavyovunja ndoa na hicho kikiwapo(ugoni).
Huna sababu ya kuendelea na mtu wa aina hyo...chunga sana na huo ujauzito inawezekana si wako(huenda hata huyo mkweo ni she_male) na ndo mwenye mzigo.
 
huwa nashindwa kuelewa kwanini mtu ambaye hamkuzaliwa nae, sio ndugu wa damu akuondolee amani Mimi nilishasema kitu cha kwanza katika maisha yangu ni kuwa na furaha!! yaani mtu tu tumekutana huko aniharibie amani never never sijui kwa maana binadamu tumetofautiana jinsi tunavochukulia mambo!!

hata kama ana mtoto wangu sijui mimba ndo alete ushenzi alafu anijibu kwa dharau daah..sijui siku hiyo itakuwaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom