Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
salamu wana jf, nilitokea kumpenda binti mmoja na ninaendelea nae mpaka sasa. Jana mama yake alinipigia simu akanimbia amekua kwenye uchunguz akagundua nina uhusiano na mwanae,pia mwanae amekiri kuwa mie ni mtu wake. Mama huyo kaniambia namweka katika wasiwasi mkubwa kuhusu mwananae. Ananiambia nije nyumbani niweke wazi mbele yake(mama na baba mzazi). Wadau mi nampenda huyo binti yao, je niende kuweka mambo waz? Je nitaenda kueleza nin? Ushauri tafadhali,