jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,604
- 3,753
Katika hekaheka zangu hapa kampala nimejikuta nimenasa kwa mganda mmoja,kama kawaida yangu nipendavyo watoto weusi,tumekubaliana baada ya kuoana tuje tuishi Tz,sasa wakuu mimi nina mashaka kidogo,maana kwenye ndoa migongano huwa ipo,sasa ikitokea tumepishana na akaamua kurudi kwao na uwezekano wa kusuluhisha si unakua mdogo?maana ni nchi mbili tofauti na kunipotezea si itakua rahisi maana kuonana mara kwa mara itkua ngumu, na ikitokea kakwapua vitu vyangu au kaleta madhara mimi kumfatilia kwao si itakua ngumu na sitakua na nguvu maana atakua tayari yuko nchini kwao,ushauri wenu pliz wakuu,
Mungu bariki Tanzania yangu,
Nchi yenye neema ya amani.
Jembe afrika.
Mungu bariki Tanzania yangu,
Nchi yenye neema ya amani.
Jembe afrika.