Ushauri: Pete ya ndoa

Akaulizie kwa masonara huko,mfuko wake utaamua.
Mimi mara ya mwisho kuulizia gold ilikuwa 1 gram= 75,000/ Tshs mwaka jana.
Gram ya gold bei inaanzia 90,000/= mpaka 120,000/= inategemea duka la sonara lipo kitaa au kwenye mall. Pia kuna made in Tanzania na Dubai finishing.
 
kitu gold bana, una Bahati dolla imeshuka gram moja leo ni 81 058.14

kama pesa ipo mtengenezee kwa gram 9 kitu kama laki 7....

tumia pesa ikuzoe
Mwanaume ndio unapaswa kuwa na madini ya bei kubwa, ukikwama unajisalimisha kwa sonara unapunguza gram unapewa cash na pete nyingine yenye gram ndogo. Hizi ndio akili za namna ya kuishi mjini na kukabiliana na stress za Ngosha ili usiunganishwe kwenye orodha ya kuishi kama shetani.
 
Nunua princess cut diamond wedding ring.

gia-certified-1-carat-princess-cut-diamond-vintage-wedding-ring-set-in-white-gold.jpg
duh hapa bei yake si mtaji kabisa
 
Mkuu nakushauri achana na mawazo ya Nyani Ngabu utapotea hiyo ring anayokushauri nzuri iko hadi dollar 7000 around million 15 sasa kwa unavoonekana kamati yako haizidi tsh milioni 3 kwa harusi nzima nakushauri uchukue gold wedding ring na ukishindwa tafuta caption zake.
Usimdharau Mtu Usiyemjua bhaaa! Huwezijua Anaback Up Ya Watu Gani!
 
Gram ya gold bei inaanzia 90,000/= mpaka 120,000/= inategemea duka la sonara lipo kitaa au kwenye mall. Pia kuna made in Tanzania na Dubai finishing.
Oooooh sishangai bei kufikia huko,mwaka jana ilikuwa 75.

Katika hizo made in Tz na Dubai zipi ziko vizuri Ankal?
 
Mwanaume ndio unapaswa kuwa na madini ya bei kubwa, ukikwama unajisalimisha kwa sonara unapunguza gram unapewa cash na pete nyingine yenye gram ndogo. Hizi ndio akili za namna ya kuishi mjini na kukabiliana na stress za Ngosha ili usiunganishwe kwenye orodha ya kuishi kama shetani.
Mwanaume ndio unapaswa kuwa na madini ya bei kubwa, ukikwama unajisalimisha kwa sonara unapunguza gram unapewa cash na pete nyingine yenye gram ndogo. Hizi ndio akili za namna ya kuishi mjini na kukabiliana na stress za Ngosha ili usiunganishwe kwenye orodha ya kuishi kama shetani.

ahaaaa kumbe ndo zenu kumbe mtu unaweza kuwekeza kwenye pete hali ikiwa mbaya sonara anaku cash? embu nisubiri nitakujaga kuwekewa gram ngapi. tangu leo naanza kukusanya kwenye kapi.
 
Umejipanga??! Umeamua????? Upo tayari???? Sio siku mbiltatu utuletee Malalamiko ohoo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom